malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 260
- 350
Pamoja mkuu, tunajaribu kubadilishana mawazo tu, ikizingatiwa humu kunavijana wengi wakujitolea sio mbaya wakajua A, B, C......za uko waendako.
Pamoja mkuu, tunajaribu kubadilishana mawazo tu, ikizingatiwa humu kunavijana wengi wakujitolea sio mbaya wakajua A, B, C......za uko waendako.
Mkuu professional tetesi zinasemaje?Tunaousubiri jwtz professional tunabaki kuulinda huu Uzi.....
mwakani mwezi wa kwanzaMkuu professional tetesi zinasemaje?
watachukuliwa waliopo kambini juu kwa juu.mwakani mwezi wa kwanza
Mkuu mi sihusiki kwenye kuunganisha upataji wa formNiunganishie na mimi mkuu
Form lini za baba kanitumaMkuu mi sihusiki kwenye kuunganisha upataji wa form
Hii inakuwaje wakuu naomba maelezo hapa kidogo plz wakuuMkuu professional tetesi zinasemaje?
VIP umeshafika kambini?Baba kanituma nimechagua kambi ya ruvu... :tatehe,,,,3/12/2016 nazama kambini.... 'kwaheri huu uzi....
mkuu unafahamu ni professional zipi zinahusika hapa? nadhan hujamuelewa vzuri alieuliza swaliwatachukuliwa waliopo kambini juu kwa juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado naendelea kua mlinzi wa huuu uzi sijui nitaondoka lini maana sina nauli na kambi niliyopangiwa nimeisahau
kwaelini wazalendo nendeni mkalitumikie taifa sifa uvumilivu