Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Madaktari washamaliza kozi pale ruvu ya fresher soon wataenda kupiga kozi ya officers Arusha.Now imebaki mainjinia kuingia mzigoni...pengine hao wanauliza ni ma engineer.
Sorry mkuu sina nia ya kukupinga maana nakumbuka ilikua ni mwezi wa saba ndio walikua wanazunguka katika baadhi ya vyuo vya udaktari na uinjinia kutafuta vijana.Ila baada ya hapo hakuna chochote kilichoendelea nadhani kwa sababu ya mambo ya uhakiki.
Vp hao waliokua ruvu walikua recruited lini?
 
Wakuu mimi nilipangwa kwenda awamu ya pili mwaka 2014 kidato cha 6 ila nilishindwa kwenda kutokana na chuo na chuo pia nilishindwa kuendelea kutokana na sababu zilizokua nje ya uwezo wangu,ko nikawa nimekosa vyote.Mwaka huu nimepangwa chuo mkopo sijapata,Nitawezaje kwenda mwaka huu ikizingatia kuna nafasi zimetolewa kwa 6x waliokosa mkopo.Ila imeandikwa waliomaliza 2016.
N.B mwaka huo sikuandika barua.Msaada Tafadhali
 
Sorry mkuu sina nia ya kukupinga maana nakumbuka ilikua ni mwezi wa saba ndio walikua wanazunguka katika baadhi ya vyuo vya udaktari na uinjinia kutafuta vijana.Ila baada ya hapo hakuna chochote kilichoendelea nadhani kwa sababu ya mambo ya uhakiki.
Vp hao waliokua ruvu walikua recruited lini?
Vyuoni walichukua vyeti ila hawakurecruit pia hao madaktar waliopiga ruvu wamemaliza kipindi cha kusitisha ajira so wakawa hawajaenda cadet wanackilizia waliopo wamalize...so soon wataenda Arusha kupiga kozi...nyie ambao vyeti vilichukuliwa subirieni utaratibu watakapo tangaza yawezekana wakatoa majibu huko vyuoni au mkapigiwa simu.
 
Majibu makini kabisa hongera kwa hilo,vipi apo ruvu hua kwa kawaida wanakaa kwa muda gani kabla ya kwenda cadet?
 
jua lileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
bado afu ajanituma me ndo nilimtuma maana sukuata chace yakufanya usaili nilikuwa kwenye masomo nchi jirani uganda
 
Vyuoni walichukua vyeti ila hawakurecruit pia hao madaktar waliopiga ruvu wamemaliza kipindi cha kusitisha ajira so wakawa hawajaenda cadet wanackilizia waliopo wamalize...so soon wataenda Arusha kupiga kozi...nyie ambao vyeti vilichukuliwa subirieni utaratibu watakapo tangaza yawezekana wakatoa majibu huko vyuoni au mkapigiwa simu.

Kwa hiyo mkuu hao mainjia hawatopitia jkt au ???
Na vepe utaratibu umeshabadilika kuhusu hizi professional mbili dakari na enjinia????
 
Mkuu Mbona Unaiharibu Lugha Yetu adhimu ya Kiswahili Kwa Makusudi?!!
 
Back
Top Bottom