Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Vijana kwa jins ninavyo wajua watakesha hukoleo vijana angalieni kwenye website yao jkt kuanzia mida ya mchana mpaka jioni kutakuwa kuna news....
Vijana kwa jins ninavyo wajua watakesha hukoleo vijana angalieni kwenye website yao jkt kuanzia mida ya mchana mpaka jioni kutakuwa kuna news....
edit cheti cha kuzaliwa acha kuwa mzito ***** askari sifa wepesi k wwNimeona lakin sasa kwa levo ya elimu nilonayo mie kwa vigezo vyao kwamba unatkiwa uwe na umri mwisho 23.na mim nna24...nataka kama kuna mtu anaeza nisaidia nikapata nafasi kwa umri wangu...
Atakua Mr KAUGA uyoTAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kuutaarifu umma juu ya utapeli unaoendelea kufanywa na baadhi ya watu wanaojifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana wa kitanzania kwenye mafunzo ya JKT kwa lengo la kupatiwa malipo.
Utapeli huo unafanyika kwa njia ya simu za mkononi kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno tofauti tofauti.
Jeshi la Kujenga Taifa linasisitiza kuwa ujumbe huo siyo sahihi na wananchi wanatakiwa kujiepusha na utapeli huo wenye lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa za mchakato wa uchukuaji wa vijana wa kujiunga na mafunzo ya JKT utolewa na Makao Makuu ya JKT kwa mfumo ulio rasmi wa mawasiliano ikiwemo luninga, radio, magazeti na tovuti ya JKT.
Aidha, JKT kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, inafuatilia kujua ni mtu gani au kikundi kipi kinahusika na utapeli huo ili hatua kali za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
Tarehe 17 Oktoba 2016
Kwahiyo jamaa alikwambia kuhusu hii news ya matapeli au kuhusu news ipi??au alisema news tuh bila kukwambia itahusu nini?hata hivyo yupo vizuri...sasa muhoji kuhusu habari njema za ukombozi wa vijana ni lini.Yah nliambiwa kuna news leo itaingia ya taadhari kuhusu matapeli na kweli imeingia namuamini sana ni mshikaji wangu yupo makao
Vipi kuhusu kusepa hujapata info kama ni mwaka huu au mwakaniYah nliambiwa kuna news leo itaingia ya taadhari kuhusu matapeli na kweli imeingia namuamini sana ni mshikaji wangu yupo makao
tena aweke ana miaka 20 askari gan mzembe huyoedit cheti cha kuzaliwa acha kuwa mzito ***** askari sifa wepesi k ww
Sasa muulize ya safari lini.Yah nliambiwa kuna news leo itaingia ya taadhari kuhusu matapeli na kweli imeingia namuamini sana ni mshikaji wangu yupo makao
Kasema ni mwaka huu coz taratibu zote teyari zimekamilika bado tangazo la safari hv karbuni but amegoma kuniambia mwezi gani ila kasema mda mfupi tutapata News nyingine inayo tuhusu.Vipi kuhusu kusepa hujapata info kama ni mwaka huu au mwakani
Uhakika mwaka huu.Vipi kuhusu kusepa hujapata info kama ni mwaka huu au mwakani
***** atafute na leaving nyingine..edit cheti cha kuzaliwa acha kuwa mzito ***** askari sifa wepesi k ww
leaving ni ile ile anaenda stationary tu wanafuta mwaka na kuandika upya very simple***** atafute na leaving nyingine..
***** hili tangazo mmetoa api nyinyi..TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kuutaarifu umma juu ya utapeli unaoendelea kufanywa na baadhi ya watu wanaojifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana wa kitanzania kwenye mafunzo ya JKT kwa lengo la kupatiwa malipo.
Utapeli huo unafanyika kwa njia ya simu za mkononi kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno tofauti tofauti.
Jeshi la Kujenga Taifa linasisitiza kuwa ujumbe huo siyo sahihi na wananchi wanatakiwa kujiepusha na utapeli huo wenye lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa za mchakato wa uchukuaji wa vijana wa kujiunga na mafunzo ya JKT utolewa na Makao Makuu ya JKT kwa mfumo ulio rasmi wa mawasiliano ikiwemo luninga, radio, magazeti na tovuti ya JKT.
Aidha, JKT kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, inafuatilia kujua ni mtu gani au kikundi kipi kinahusika na utapeli huo ili hatua kali za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
Tarehe 17 Oktoba 2016
Mkuu aende shule tu akaeleze..jamaa wakiona kasoro au kukolezwa kidogo tu namba kaharibu sifa...leaving ni ile ile anaenda stationary tu wanafuta mwaka na kuandika upya very simple
OK poa poaKasema ni mwaka huu coz taratibu zote teyari zimekamilika bado tangazo la safari hv karbuni but amegoma kuniambia mwezi gani ila kasema mda mfupi tutapata News nyingine inayo tuhusu.
mmmmmmmmmmmmhhhh.leaving ni ile ile anaenda stationary tu wanafuta mwaka na kuandika ya very simple
Ha ha ha ha...nkanga sio mtu wa mchezo mchezo...yupo kwaajili ya kutetea haki za wengi#mwanasiasa.Ila Huyo nkang chief noma kwa waanga wa mikopo yupo,walimu wanaosubir ajira yupo,uzalendoni (jkt) yupo aisee huyo jamaa ni shida