Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Jaman nimetokea kuipenda sana hii fani kutokana na kuwa inspired na watu tofauti tena wenye umri mgdo zidi yangu.... Umr wangu kwa sasa ni 24 .na elimu ya kidato cha 4...je kwa mwakan nikiomba nafasi naweza pata?!! Au mwenye kuweza kunisaidia ili nipate mwanga wa jinsi ntakavyotimiza hii ndoto tafadhali anisaidie.. Shukran wapendwa nilishawai kuuliza kuhusu hili swala la elimu bt bado sijakata tamaa... Kuna mtu nilimwomba anisaidie ila alinjbu kwamba natakiwa nibadil vyeti yaan nipungze umri kidgo. Lakin nilishindwa maana kwa serikali yetu hi yasije nikajutia kwa kupoteza mda na pesa hapo baadae....so kama kuna msada tofauti na huo plz. Mnijuze!
Shukrn na samahn kwa maelezo marefu! [emoji111]
Juu kabsa Mwanzo wa hii thread kuna majbu yote
 
Hivi mkuu unajua kama jw walitakiwa kuajili watu wa taaluma toka mwezi wa 6 walipokusanya vyeti vyao vyuoni lakini hadi Leo hakuna alieitwa ingawa waliwaambia ajira Ni mwaka huuu???jw ajira hadi sasa haijulikani lini...sasa jkt ndo ianze kabla ya jw kwenda kozi ya ajira!!!!!sidhani kwakweli labda matumaini yatakuja kozi za ajira jw zikianza...tofaut Na hapo hyo Ni as where hadi mwakani.
Bora wewe umekuja na majibu yenye mashiko, umeonge ukweli pasipo kujipa matumaini hewa.
 
Hivi mkuu unajua kama jw walitakiwa kuajili watu wa taaluma toka mwezi wa 6 walipokusanya vyeti vyao vyuoni lakini hadi Leo hakuna alieitwa ingawa waliwaambia ajira Ni mwaka huuu???jw ajira hadi sasa haijulikani lini...sasa jkt ndo ianze kabla ya jw kwenda kozi ya ajira!!!!!sidhani kwakweli labda matumaini yatakuja kozi za ajira jw zikianza...tofaut Na hapo hyo Ni as where hadi mwakani.
Mk

Mkuu kwa ss kipaumbele ni wale waliopi jkt makambin..hao wa vyuo watasubiri..au wataunganishwa na wale watakaoongezwa jeshini..nielewe mkuu
 
ndolile amba ndolile
ambandolileeeeh..
wazalendo msife moyo
ambandolileeeeh..
Haya yote ni maisha we
ambandolileeeh..
Ipo siku yatakwisha we
ambandolileeh...
Lazima mtoboe mazalendo waz
 
Juu kabsa Mwanzo wa hii thread kuna majbu yote
Nimeona lakin sasa kwa levo ya elimu nilonayo mie kwa vigezo vyao kwamba unatkiwa uwe na umri mwisho 23.na mim nna24...nataka kama kuna mtu anaeza nisaidia nikapata nafasi kwa umri wangu...
 
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kuutaarifu umma juu ya utapeli unaoendelea kufanywa na baadhi ya watu wanaojifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana wa kitanzania kwenye mafunzo ya JKT kwa lengo la kupatiwa malipo.
Utapeli huo unafanyika kwa njia ya simu za mkononi kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno tofauti tofauti.
Jeshi la Kujenga Taifa linasisitiza kuwa ujumbe huo siyo sahihi na wananchi wanatakiwa kujiepusha na utapeli huo wenye lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa za mchakato wa uchukuaji wa vijana wa kujiunga na mafunzo ya JKT utolewa na Makao Makuu ya JKT kwa mfumo ulio rasmi wa mawasiliano ikiwemo luninga, radio, magazeti na tovuti ya JKT.
Aidha, JKT kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, inafuatilia kujua ni mtu gani au kikundi kipi kinahusika na utapeli huo ili hatua kali za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
Tarehe 17 Oktoba 2016
 
Siku zitafika watu watapungua au wataacha kujitolea jkt sababu hawalipwi Wala hawana uhakika wa ajira pindi wamalizapo mafunzo.
 
Back
Top Bottom