Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

ili kua wiki hii, mwenzi huu, itakuja mwakaa huuu hauishi.we kaa subiri jakata, humu hakuna ajuae lolote wale wote wanaojua hz mambo washa jiongeza.
 
Mkuu itawezekanaje wakati vikosini bado op 2 za jkt hawajapiga kozi wapo wapo tuh vikosini.Sa itawezekana vipi kuongeza jkt wengine??wale hadi Leo kozi haijulikani Ni lini.Au tayar ushapata fununu wanapiga lini?
Kwan wakat wanafanyisha watu usaili walikua hawalijui hilo.au unataka kusema mmjkt wamekurupuka .
 
KESHO AFANDE MAGU LAZIMA ATAMKE NENO ZURI MAKURUTA MSIFE MOYO

kujipa moyo IMOO. AFADHALI HATA WA MWAKA HUU WAENDE, ILI NASI WATARAJIWA TUANZE KUPATA MATUMAINI MANA HALI NI TETE. Eeh Mungu saidia hawa waende mwezi huu kama ilivopangwa🙁🙁
 
Wataongezwa na wale wa oljoro..ila wao watapiga msata...
Hivi mkuu unajua kama jw walitakiwa kuajili watu wa taaluma toka mwezi wa 6 walipokusanya vyeti vyao vyuoni lakini hadi Leo hakuna alieitwa ingawa waliwaambia ajira Ni mwaka huuu???jw ajira hadi sasa haijulikani lini...sasa jkt ndo ianze kabla ya jw kwenda kozi ya ajira!!!!!sidhani kwakweli labda matumaini yatakuja kozi za ajira jw zikianza...tofaut Na hapo hyo Ni as where hadi mwakani.
 
Jaman nimetokea kuipenda sana hii fani kutokana na kuwa inspired na watu tofauti tena wenye umri mgdo zidi yangu.... Umr wangu kwa sasa ni 24 .na elimu ya kidato cha 4...je kwa mwakan nikiomba nafasi naweza pata?!! Au mwenye kuweza kunisaidia ili nipate mwanga wa jinsi ntakavyotimiza hii ndoto tafadhali anisaidie.. Shukran wapendwa nilishawai kuuliza kuhusu hili swala la elimu bt bado sijakata tamaa... Kuna mtu nilimwomba anisaidie ila alinjbu kwamba natakiwa nibadil vyeti yaan nipungze umri kidgo. Lakin nilishindwa maana kwa serikali yetu hi yasije nikajutia kwa kupoteza mda na pesa hapo baadae....so kama kuna msada tofauti na huo plz. Mnijuze!
Shukrn na samahn kwa maelezo marefu! ✌
 
Back
Top Bottom