Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Depo mwakani wakuu.... Naona serikali mipago yake yote inaweza ikaanza mwakani....
 
kurutuuu wa mungu endeleni kulinda miili yenu maana si muda mrefu afande magu atatamka neno zuri waz!!!!
 
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulikuwa tunapita kcmc kupitia ile barabara ya mwenge ya vumbi noumaaah babu
Sasa mzee unafanya nini kitaa wakati ushapitia hayo mambo yenu??? Hahaha..mpaka wengine washaanza kuamua kujiunga na wewe kwenye maswala ya ajira....
 
Unajua makurutu tuendelee kupeana moyo tu but agra n mwakan.

Hahaha aaaah tunastaili kupeana moyo tu hapa. Waalimu, manesi na madokta wapo nyumbani.subirini 2017 na usaili unaweza kurudiwa
Acha utani Mkuu!
 
kurutuuuuuuuuuuuu chapa vumbi weka vitu vyako kwenye tranka next week tukasukume dunia wazii
 
Back
Top Bottom