Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wakuu naona morali yangu inaanza kukata taratiiibu..... Ngoja niungane na nkanga tu jukwaa la elimu.....
nenda kijijini kwenu ukalimeWakuu naona morali yangu inaanza kukata taratiiibu..... Ngoja niungane na nkanga tu jukwaa la elimu.....
Pembejeo ziko Dar.nenda kijijini kwenu ukalime
morali haitakiwi kukata, soon mambo yanajibuWakuu naona morali yangu inaanza kukata taratiiibu..... Ngoja niungane na nkanga tu jukwaa la elimu.....
Sawa sawa mkuu wangu wa kazi.morali haitakiwi kukata, soon mambo yanajibu
[emoji15] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamanda nyati mr rsm ccp upoWakuu naona morali yangu inaanza kukata taratiiibu..... Ngoja niungane na nkanga tu jukwaa la elimu.....
Ha ha haaa nipo koplo Nkanga...[emoji15] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamanda nyati mr rsm ccp upo
unaenda KJ gan.?Sawa sawa mkuu wangu wa kazi.
Hadi ww mkuu..kweli tunaenda..vp mbuyu wako anasema lini kkmorali haitakiwi kukata, soon mambo yanajibu
Hahaha aaaah tunastaili kupeana moyo tu hapa. Waalimu, manesi na madokta wapo nyumbani.subirini 2017 na usaili unaweza kurudiwatusubir leo afand magufuli atatamka nin
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nkanga *****. Watalima wale waliopo huko wanaosubiri kuingia jwtz,polisi,magereza nk endelea kusubiri *****
Nkanga *****. Watalima wale waliopo huko wanaosubiri kuingia jwtz,polisi,magereza nk endelea kusubiri *****
Mkuu huu mwezi huu haukatiki wazalendo lazima waamsheHadi ww mkuu..kweli tunaenda..vp mbuyu wako anasema lini kk
Kuna jamaa niliandka HVO akabishaDEPO MWAKA HUU LAZIMA MUENDE JESHI SYO GENGE LA SIASA KWANZA SASA HIVI KUNA MASHAMBA YANAANDALIWA NA TARATIBU ZA KUWAPOKEA ZINAKAMILISHWA VIKOSINI KEEP ON WAITING GUYS
depo mtaende before decemberKuna jamaa niliandka HVO akabisha