ngalola KIBAHA
Member
- Oct 6, 2015
- 26
- 9
Unaonekana.... Shuleni MAISHA yako yalikuwa ni kufeli tu....wewe ni failureInasikitisha Vijana mliota nywele karibia kila sehemu za miili yenu bado mnasubiri Ujinga hakuna JKT mwaka mjiandae na Usail wa mwakani.Jitu ukiliuliza kwanini unataka kwenda JKT utaskia ohh Uzalendo mbona Mafunzo ya mambo yanakosa watu tafuteni kazi mfanye mpige pesa acheni kumuhujumu Rais kutwa kuangalia Uzi huu Jamii Forums na ole wenu mnijibu.