Georgemkali wao
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 180
- 118
Wazi afandeHata kozi ndani ya jwtz zlikuwa zimefungwa zimefunguliwa mwezi huu wa 10....so inshallah mwezi huu twaweza pata taarifa ya kusepa...! Tuendelee kujipa moyo
Wazi afandeHata kozi ndani ya jwtz zlikuwa zimefungwa zimefunguliwa mwezi huu wa 10....so inshallah mwezi huu twaweza pata taarifa ya kusepa...! Tuendelee kujipa moyo
Endeleeni kuwaaminisha waaminio ila sio leo wala kesho ila mapema,,,,,jeshi halina rumours za hovyo hovyo kama nkanga chief na wenzakeTr 15 vijana mtakuw makambini. Take it from me.
Kutoka kwenda wapi?[emoji15] [emoji14] [emoji15]Na wale waliopo Jkt wanatoka lini?
Mkataba wao ukiisha watarudi nyumbanKutoka kwenda wapi?[emoji15] [emoji14] [emoji15]
hakuna taarifa kama hyo ,labda kwenye JESHI LA WOKOVUWameongezewa miezi sita mpaka wa 12 kama amna kitu wanalud
WATAKAPOINGIA HAWA wazalendo KWENDA KUPOKEA VIKOSI NDIO WALE WATAONDOKA....Na wale waliopo Jkt wanatoka lini?
Acha kuwadanganya vijanaTr 15 vijana mtakuw makambini. Take it from me.
Wao co wajinga bhna kuongeza....Wameongezewa miezi sita mpaka wa 12 kama amna kitu wanalud
[emoji23] [emoji2] [emoji23]Na wale waliopo Jkt wanatoka lini?
Huo ndio ukweli sasa 2fanyaje[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo umegusa kwenye ukweli aisee...
NAONA MNAKOELEKEA MNATAKA TUUFUNGE HUU UZI