Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Muda umeisha wazalendo mmejiandaa vya kutosha? Soja boksi,pods,pamba,spirit,soksi,ndala,Sabuni,viwembe,tochi,dawa ya meno,dawa za kuchua misuli,makoti kwa wale mlopangiwa kambi zenye baridi,msisahau pia kutoa nakala za vyeti vyenu kwa wingi maana kule hakuna stationary
Soja box ndio ipoje hyoo
 
Hizi siku chache zilizobaki ndiyo za maandalizi mambo tayari yameshakaa kwenye mstari oktoba hii hii mnaondoka,ila tarehe siwezi kuwaambia ila eleweni ni mwezi huu huu
Mwezi huu hapana.... Unakatika kama miezi iliyotangulia.....
 
Hizi siku chache zilizobaki ndiyo za maandalizi mambo tayari yameshakaa kwenye mstari oktoba hii hii mnaondoka,ila tarehe siwezi kuwaambia ila eleweni ni mwezi huu huu
Sawa Mkuu ngoja tuvute subira October ndo hii labda lolote laweza tokea
 
Muda umeisha wazalendo mmejiandaa vya kutosha? Soja boksi,pods,pamba,spirit,soksi,ndala,Sabuni,viwembe,tochi,dawa ya meno,dawa za kuchua misuli,makoti kwa wale mlopangiwa kambi zenye baridi,msisahau pia kutoa nakala za vyeti vyenu kwa wingi maana kule hakuna stationary
Aaaaha sisi wengine hata kambi hatujapangiwa tupo tu na mafomu yetu
 
Back
Top Bottom