Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

kwanilivo ckia mim kwa dada angu yupo ruvu ni mkufunz anaxema kua nw wameshaandaa mashamba kwa ajil ya vjana wapya wa kujitolea ambao mda co mrefu wataanza kulipot na wao pia wamepewa pas ya 2 wks maana wao walijua mwakan mwez wa 5 ndo wanaweza kuingia ila waka huu nawasilisha
 
HIZO TAARIFA ZA KUTUNGA
 
Muda umeisha wazalendo mmejiandaa vya kutosha? Soja boksi,pods,pamba,spirit,soksi,ndala,Sabuni,viwembe,tochi,dawa ya meno,dawa za kuchua misuli,makoti kwa wale mlopangiwa kambi zenye baridi,msisahau pia kutoa nakala za vyeti vyenu kwa wingi maana kule hakuna stationary
 
Kile mkienda muda wa kula kuleni kweli kweli has a Dada zetu wenye uvivu wa kula inatakiwa mjifunze kula kweli kweli kule ubishoo na udada duu hautakiwi kula kweli kweli yaani
 
Muda umeisha wazalendo mmejiandaa vya kutosha? Soja boksi,pods,pamba,spirit,soksi,ndala,Sabuni,viwembe,tochi,dawa ya meno,dawa za kuchua misuli,makoti kwa wale mlopangiwa kambi zenye baridi,msisahau pia kutoa nakala za vyeti vyenu kwa wingi maana kule hakuna stationary
Mkuu unaposema muda umeisha ilihali vijana bado hawajui nini hatma yao maana mpaka sasa kimya je waanze kujiandaa tangu lini?
 
Back
Top Bottom