Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Eti ehn

Kama bajeti yenu ipo mnasubiri nini leta maelezo mengi ya kujifariji ila muda utatoa majibu sahihi
Nilikuwaga mbishi km wewe
Mimi naonaga heri mtu kuukubali ukweli kisha ukaamua kuchukua maamuzi temporary kuliko kukaa na matumaini hewa moyoni.
 
jkt mwakani mwezi wa sita wakuu vuteni subra na usaili utakuwa mpya .......
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ukisikiliza maneno ya watu humu ndani unaweza ukakata tamaa!

Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
 
Serikali inafanya mambo kwa utaratibu iliyojiwekea, vijana wazalendo kuweni na subira maana subira yavuta heri siku ikifika mtaitwa na ninawahakikishia ni siku si nyingi itakuwa,jiandaeni kisaikolojia najua wengi mmekata tamaa hasa mnapohoji lakini hampati majibu kabisa,Oktoba hiyo hapo inakuja,jiandaeni!!
 
ACHA UONGO ,WAKIINGIA VIKOSINI UTAWALISHA WEWE ...NARUDIA TENA JKT HADI MWAKANI ,CHAMSINGI MUENDE KWENYE MAFUNZO YA MGAMBO AU MJIUNGE NA SUNGUSUNGU WAKATI MKISUBIRIA MWAKANI
 
Ahahahaha wewe jamaa comment zako zinanifanya niwe nacheka tu.
 
Back
Top Bottom