moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
haina ulazima ya kuwa na undugu nae depo ni mwakani mwezi wa pili katikatiMkuu unaundugu na pogba..mana utusiende tusiende
haina ulazima ya kuwa na undugu nae depo ni mwakani mwezi wa pili katikatiMkuu unaundugu na pogba..mana utusiende tusiende
Tatizo unadhan ww ndio unajua kila kitu hata sisi tunawatu wakubwa tu wanatuambia tutaenda ss ww kama unaona jeshi la kwenu subiri mwakani...kwa taarifa tu hv karibuni tu .haina ulazima ya kuwa na undugu nae depo ni mwakani mwezi wa pili katikati
Jeshin hakuna utabiri..tutakuachieni uzi huu..usipokufA kwa risasi ..utakufa kwa uchawiNiliwahi kuandika hapa lolote linaweza kujitokeza kuwepo au kutokuwepo
Tujiandae kwa yote mawili
Yani mwakani..mwezi wa pili...katikati.....huna mpya nshakusoma mtu wa aina gani.haina ulazima ya kuwa na undugu nae depo ni mwakani mwezi wa pili katikati
Tutakuachia uzi huu ka huamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji780] [emoji626] [emoji626] [emoji626] [emoji125]eeeeh utaniachia nini
sasa wewe unaambiwa na wakubwa ,mi ndo mkubwa mwenyewe nenda kafanye kazi nyingineTatizo unadhan ww ndio unajua kila kitu hata sisi tunawatu wakubwa tu wanatuambia tutaenda ss ww kama unaona jeshi la kwenu subiri mwakani...kwa taarifa tu hv karibuni tu .
utanisoma sana ,na utaisoma namba ...Kama sio mwakani najitoa JFYani mwakani..mwezi wa pili...katikati.....huna mpya nshakusoma mtu wa aina gani.
Jitahidi uende na uhalisia wa mamboJeshin hakuna utabiri..tutakuachieni uzi huu..usipokufA kwa risasi ..utakufa kwa uchawi
Mkuu, nakuomba PM tafadhali.Jitahidi uende na uhalisia wa mambo
Unafaham polisi na magereza waliomaliza kozi hivi karibuni hawajapata cheki namba mpaka leo
Unafaham kuwa ile oparesheni muungano mpaka sasa bado hawajaanza kozi na wapo Oljoro
Na oparesheni Jk bado wako vituo vya malezi
Sasa wewe upelekwe kule waandae na posho na chakula kwa ajili yako
Hawa wengine wanasugua Gaga??
Huu sio utabiri mkuuu Muhim kujiandaa na yote
Karib sanaMkuu, nakuomba PM tafadhali.
Wa oljoro hawajaanza ila washapewa MT namba..kwahyo ni askari tayariJitahidi uende na uhalisia wa mambo
Unafaham polisi na magereza waliomaliza kozi hivi karibuni hawajapata cheki namba mpaka leo
Unafaham kuwa ile oparesheni muungano mpaka sasa bado hawajaanza kozi na wapo Oljoro
Na oparesheni Jk bado wako vituo vya malezi
Sasa wewe upelekwe kule waandae na posho na chakula kwa ajili yako
Hawa wengine wanasugua Gaga??
Huu sio utabiri mkuuu Muhim kujiandaa na yote
Alafu istoshe kila OP inaenda na bajeti yake kkule..na hao ambao wapo vikosini watakaa kusubiri ndio mana tunajaza mkataba wa miaka miwili na istoshe ingekua hvyo hata wa mujibu wasingeenda...think beyond mkuu naona unaishi kinadhariaJitahidi uende na uhalisia wa mambo
Unafaham polisi na magereza waliomaliza kozi hivi karibuni hawajapata cheki namba mpaka leo
Unafaham kuwa ile oparesheni muungano mpaka sasa bado hawajaanza kozi na wapo Oljoro
Na oparesheni Jk bado wako vituo vya malezi
Sasa wewe upelekwe kule waandae na posho na chakula kwa ajili yako
Hawa wengine wanasugua Gaga??
Huu sio utabiri mkuuu Muhim kujiandaa na yote
Ndio mana nikasema nishakujua ww n wa aina ganiutanisoma sana ,na utaisoma namba ...Kama sio mwakani najitoa JF
umeongea logic sana mkuu ukweli lazima usemwe tu pJitahidi uende na uhalisia wa mambo
Unafaham polisi na magereza waliomaliza kozi hivi karibuni hawajapata cheki namba mpaka leo
Unafaham kuwa ile oparesheni muungano mpaka sasa bado hawajaanza kozi na wapo Oljoro
Na oparesheni Jk bado wako vituo vya malezi
Sasa wewe upelekwe kule waandae na posho na chakula kwa ajili yako
Hawa wengine wanasugua Gaga??
Huu sio utabiri mkuuu Muhim kujiandaa na yote
Hatupaswi kukata tamaa hizi harakati zitakaa sawa tuuuumeongea logic sana mkuu ukweli lazima usemwe tu p
sasa wewe unaambiwa na wakubwa ,mi ndo mkubwa mwenyewe nenda kafanye kazi nyingine
[emoji2] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba kanituma nnView attachment 405391hahaha..wewe ni mkubwa wapi??? Jeshini au??? Chech hii[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kwani unajua uelewa wa mtu unapimwa vipi...?View attachment 405391hahaha..wewe ni mkubwa wapi??? Jeshini au??? Chech hii[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji23] KANUSHAKwani unajua uelewa wa mtu unapimwa vipi...?