Vijana wa kujitolea jkt 2016 mnaenda mafunzoni siku si nyingi kuweni na imani lakini pia mjiandae mambo yataenda kwa kasi ya hapa kazi tu,mvua hizo zimeanza lazima mkalime sana lazima mkafanye sana kazi, huu ni muda mzuri sana kwa mnaotarajia kuendelea kupanua Mawazo yenu juu ya nini mtaenda kukifanya kule makambini ichimbeni nchi yenu muijue vema,jueni vitu vingi vitakavyokuwa msaada ktk mafunzo yenu,wenye Uwezo wa kuingia mitandaoni YouTube IPO itawafundisha namna ya kufunga na kufungua silaha hivo uipatapo elimu hii mapema mafunzoni utapeta tu,MAMBO YAMEKARIBIA HONGERENI KWA UVUMILIVU TANGU JULY.WAZII???