Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,868
- 1,495
Eti ehnAlafu istoshe kila OP inaenda na bajeti yake kkule..na hao ambao wapo vikosini watakaa kusubiri ndio mana tunajaza mkataba wa miaka miwili na istoshe ingekua hvyo hata wa mujibu wasingeenda...think beyond mkuu naona unaishi kinadharia
Kama bajeti yenu ipo mnasubiri nini leta maelezo mengi ya kujifariji ila muda utatoa majibu sahihi
Nilikuwaga mbishi km wewe