Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

duh upo mafinga 841 kj kwenye baridi kali TZ nzima!! ngoja nkupe ronja zake;

kile ni kikosi cha adhabu yaani baridi la kule adhabu tosha, utakutana na wanaa wenye hasira mithili ya simba aliyemwona swala, kule unakutana na shamba lisilona mwisho ulime,

asubuhi mkiamka mnakimbia mchakamchaka sawa umbali kutoka mlandizi hadi kivukoni yaani hapo full kukaukia na maji kusikia njaa, yani miksa kuzimia njiani. niishie hapo ba dada nisikupe ronja nyingi hadi ukaghairi
Siwezi ghairi nimeamua kutoka moyoni
 
habari niliyoipata hivi punde ni kwamba mkuu wa nchi kawaambia jkt wamalize kujenga madawati ndo vijana wataruhusiwa kuondoka
 
Nauza dawa asili za kuponya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume nina vibali ..bei. sh 15000..nitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide
Mkuu kuna jukwaa la biashara na matangazo lipo kule hapa umepotea BOGI
 
Back
Top Bottom