Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Baridi ya mafinga!!!kazi mnayo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hadi nyinyi mkienda mafinga baridi litakua limepungua sana pale pana nyahenge kali mwez 6hadi7 huo 8 barid la kishikaji tu
 
Kuna Msela alipangiwa Mafinga kwa baba kantuma alienda mwez wa6 lakn alirudishwa baada ya tamko so sjui kama ataenda tena.
 
Makanda na Wazalendo tunaoenda Kikosi Cha Maramba KJ 838 - Tanga
Mpo?
Njooni tujianzishe na sisi kundi letu la WhatsApp.
 
Ha ha ha mwisho Wa siku mtafahamiana hadi majumbani wazalendo.. Ila tunza mwili tunza afya waziii... Vikosini mtaenda tu. 832kj
 
Back
Top Bottom