Hilo ni langu mkuuHuku kunaonekana mbali sana.
Hilo ni langu mkuuHuku kunaonekana mbali sana.
Aaaaah achen kutuzngua axeeM
MkUu kama ipo ipo mana kunadogo kaulizwa law of magnetic kashindwa.. Akaambiwa aimbe nyimbo inayohit ya bongo flavour yoyote kashindwa.. Dah.. Hata kamata chini kaisahau.. Jamaa hawana upendeleo ila kama unatatizo vyeti tafuta affidavity inasaidia ila sio kwenye umri
Hima Himaaa Wazalendo!Tulieni vjana leo tar 16 bado cku 14 tuumalize mwezi tuanze kuuhesabu mwez wa nane tena mdogo mdogo. Cku mbona zinakatika wazalendo.
Kijana endelea kupambana kupata nafasi .....hili ni jeshi huwa haliendeshwi kwa hisia.... Wazalendo msijali mambo yakikaa sawia ngoma itachezwaAha ha ha ha ha ha ha na mimi ngoja niseme langu, ngoma kwa sasa imestopishwa, mpaka October ndo itachezwa.
Asante kwa jibu la matumaini mkuu!Kila mwny kujickia kuandik anaandik tu ilimradi. Jmn vijan msife moyo hata makamanda wnyw taarifa kamil hatuna. Jeshini sio uswahilin hata zikatolew taarifa nusunusu za gossip. Amri inatoka asubh da same day inakuw official na information zinaflow ngazi kW ngazi. Tulieni wkt wowote mtaitw sio mda mrefu. Vuteni subira all the best kW waliochaguliw tayar na kupangiw kambi.
nami ngoja niseme langu, ngoma kuicheza mpk mwakani wakitangaza tena nafasi za jkt kujitolea vijana watakaopatikana ndo tuungane nao..pata picha uvumilivu utakapogeuka kuwa mbichi, maana lile zoezi la usahili linavyochosha na kuchukua muda kweli...nahis wengine fomu zitakuwa zishaliwa na panyaKama kila m2 anasema lake bila uhakika ngoja na mm nseme langu, hii ngoma kuicheza mpaka August
mh kitu kama hicho hakuna..kama watakata wasubiri zitangazwe afu waombejaman iv ni kweli eti kuna nafasi za jkt znazotolewa kwa wale watoto yatima waliopo vituo vya malezi?? mwenye kutambua anape habariiiiiii
daaaaahh okeyyyymh kitu kama hicho hakuna..kama watakata wasubiri zitangazwe afu waombe
Simba Songea mbona unaruka ruka kama kuku mwenye mzuka.wakati wowote kuanzia sasa mtaitwa Rais amesharudisha majina aliyohakiki, sasa hivi tunasubiri vifaa viletwe vikosini tuanze kazi..
tahadhari, kama upo mbali rudi hom maramoja maana usijesema huna taarifa..
nami ngoja niseme langu, ngoma kuicheza mpk mwakani wakitangaza tena nafasi za jkt kujitolea vijana watakaopatikana ndo tuungane nao..pata picha uvumilivu utakapogeuka kuwa mbichi, maana lile zoezi la usahili linavyochosha na kuchukua muda kweli...nahis wengine fomu zitakuwa zishaliwa na panya
Yah, ni kweli Mkuu.jaman iv ni kweli eti kuna nafasi za jkt znazotolewa kwa wale watoto yatima waliopo vituo vya malezi?? mwenye kutambua anape habariiiiiii
hiyo ya pili ni joke lakini hiyo kuitwa wakati wowote kuanzia sasa ndo yenyewe mkuu, tunahesabu siku tu tuitweSimba Songea mbona unaruka ruka kama kuku mwenye mzuka.
wacha kumlisha matango pori mwenzako hakuna kitu kama hichoYah, ni kweli Mkuu.