Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hahaaa mkuu umenikumbusha ile kauli "wee roho ni yako huo mwili wetu"daa!! Nikikumbuka mzuka hua unaniamka balaaa! Kuna nyingine tena hii!!"we kimbiza mwili jina tunalo"
 
Kumbe nyama ipo, nilidhani ni majani tu. Basi kumbe bata.
Yaaa nyama jeshini ni kostant kila siku kama pie Katanga mbichi mkate Wa blueband chai ya maziwa ndizi mbogamboga .

Yaani menyu pako poa Ila kuruti wanakula katika mazingira machafu unakaa chini mikono imekula vumbi hahahaahah.

Wazalendooooooooooooo ....waziiii[emoji15] [emoji14]
 
Hahaaa mkuu umenikumbusha ile kauli "wee roho ni yako huo mwili wetu"daa!! Nikikumbuka mzuka hua unaniamka balaaa! Kuna nyingine tena hii!!"we kimbiza mwili jina tunalo"
Hahahahaaa af wakikumata utaskia beba dunia..
 
Yaaa nyama jeshini ni kostant kila siku kama pie Katanga mbichi mkate Wa blueband chai ya maziwa ndizi mbogamboga .

Yaani menyu pako poa Ila kuruti wanakula katika mazingira machafu unakaa chini mikono imekula vumbi hahahaahah.

Wazalendooooooooooooo ....waziiii[emoji15] [emoji14]
Chai ya maziwa wakikutupia kanembwa hamnaga hyoo mkuu
 
Ivi wstu hawa wanaopotosha watanzania hawawezi kukamatwa? Hii web fake wanatumia hii kitu kuibia raia wema.
 
Mkuu sio kubeba dunia tuu kuna kunyonya mafuta hiyo usiombee kabisa!!alafu kuna siku nilidoji wakafanya roo koo ya bed check nikawa sipo wakachikua ile bed target name yangu dadeeki kesho yake nikarudi alfajiri nikakuta gororo halipo nikakuta ujumbe nikalifuate main get baba nilipoenda nilikupewa exesaizdrill dakika 45! Huwezi amin cku mbili mbele ugali kuria tonge kwenye sahani liende mdomoni nilishindwa dadaaki!!! Chezea jeshi wewe!!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
wewe kwani soja?
 
Yaaa nyama jeshini ni kostant kila siku kama pie Katanga mbichi mkate Wa blueband chai ya maziwa ndizi mbogamboga .

Yaani menyu pako poa Ila kuruti wanakula katika mazingira machafu unakaa chini mikono imekula vumbi hahahaahah.

Wazalendooooooooooooo ....waziiii[emoji15] [emoji14]
Waziiii Afande.
 
Mimi hizo sijapata ila niliyoipata jana usiku na kuhakikishiwa ni kwamba wale wa kujitolea muda wa kwenda vikosini bado sana. Na kuna siku nililisema hili humu ndani nikaonekana navunja watu moyo.

Nyingine nikaambiwa ya kwamba hata wale walopita ngazi ya wilayani na mkoani kwa mujibu wa kujitolea ni kwamba ....................

Ngoja ninyamaze, nikihakikishiwa nitasema.
 
Wape tu taarifa vijana ili kama kufanya mambo mengine wakafanye kwanza. Ikifika muda wataenda kambini.
 
Mimi hizo sijapata ila niliyoipata jana usiku na kuhakikishiwa ni kwamba wale wa kujitolea muda wa kwenda vikosini bado sana. Na kuna siku nililisema hili humu ndani nikaonekana navunja watu moyo.

Nyingine nikaambiwa ya kwamba hata wale walopita ngazi ya wilayani na mkoani kwa mujibu wa kujitolea ni kwamba ....................

Ngoja ninyamaze, nikihakikishiwa nitasema.
Sema tu
 
Mkuu ebu tudodose kama kulima tuendeleee kulima
 
Back
Top Bottom