Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Lakini taarifa watapewa washauri na watatujulisha.hiyo ya pili ni joke lakini hiyo kuitwa wakati wowote kuanzia sasa ndo yenyewe mkuu, tunahesabu siku tu tuitwe
Lakini taarifa watapewa washauri na watatujulisha.hiyo ya pili ni joke lakini hiyo kuitwa wakati wowote kuanzia sasa ndo yenyewe mkuu, tunahesabu siku tu tuitwe
vumilia mda ushafikiaWakuu naombeni ushaur,,mimi nilifanya usaili Mkoa wa Iringa na nimepangiwa 842kj ,,sasa nimekaa sana hapa iringa kusubir tarehe ya kuondoka ila bado hakuna dalili ,,sasa nataka kuondoka kurudi nyumban sumbawanga,, je naweza kuruhusiwa kuondoka na vijana walioko Sumbawa nga ambao tumepangiwa kambi moja??wakati ukifika
Kuna hatihati mwaka huu kupita wima tuendeleee kusubiri
Wewe unahesabika umetokea mkoa wa Iringa, nafac yako na budget yako Sumbawanga haipo. Cdhani kama utaruhusiwa.Wakuu naombeni ushaur,,mimi nilifanya usaili Mkoa wa Iringa na nimepangiwa 842kj ,,sasa nimekaa sana hapa iringa kusubir tarehe ya kuondoka ila bado hakuna dalili ,,sasa nataka kuondoka kurudi nyumban sumbawanga,, je naweza kuruhusiwa kuondoka na vijana walioko Sumbawa nga ambao tumepangiwa kambi moja??wakati ukifika
Ngoja tuanze kusogeawakati wowote kuanzia sasa mtaitwa Rais amesharudisha majina aliyohakiki, sasa hivi tunasubiri vifaa viletwe vikosini tuanze kazi..
tahadhari, kama upo mbali rudi hom maramoja maana usijesema huna taarifa..
Sawa, aya tupe ronja sasa. Wamerudi wamemaliza coz au kuna taarifa nyingine??Wamujibu wamerudi leo tupo nao kitaa..!
Aaaah kamwenje yupo??Mimi nipo kanembwa na najivunia kuwa pale
Hili ni tamko tu kama matamko mengine.kozi ya JKT NI AZI WEA MWAKA HUU MPAKA MWAKANI
Si wameingia mwezi wa 6? Nahisi wamerudi kwa ajili ya mambo ya masomo yao, si unajua matokeo ya Form 6 yametoka.Wamujibu wamerudi leo tupo nao kitaa..!
Ilikuwa 10 mwezi wa sita mkuu sio wa tano.Form six wameingia tarehe 10 mwez 5,wanamalza mwezi ujao!!!nana mdogo wangu yupo Tanga Kabuku! nineongea nae leo amesema wamepewa wiki moja kwa ajili ya kushughurikia mambo ya bodi ya mikopo...Taarifa nyingine mzipuuze!
Kweli kiongozi.Ilikuwa 10 mwezi wa sita mkuu sio wa tano.