Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Vyeti vyetu viko vizur sana hatuna wasiwasi juu ya hilo,,,tutangazien tu siku ya kuondoka ,,tukalitumikie taifa,,,na suala la vyeo hakuna ambae hapend cheo apa
 
Kama mtu alipambana na elimu na nondo za jeshi amezipiga zote kwann msimpe mtu Cheo chake,yaani ni Kama komando tuu amekaza Ndio Maana anapewa sifa yake, so mm naona hapa ni Suala la kupeana tuu heshima na kila mtu avune kile alichopanda,, huwezi kusema nisipende Cheo, sasa lengo la kusoma si ilikuwa uje kupata mshahara Mzuri na heshima ktk maisha yako, kwa hiyo Kama ni kupiga saluti kwa aliyekuzidi litakuwa pale pale, na kamwe hatuwezi kuwa Sawa wote Maana kutakuwa hakuna heshima na utendaji Mzuri jeshini, Maana kila mtu atatunisha misuli Kama tutakuwa sawa
 
Waziii
 
Mtaopangiwa kanembwa pale jamani sahauni mayai maziwa samaki yan pale mboga ikibadilishwa ni wametoa mboga ya majani kwenye nyama wameweka kabeji.....vikosi vingine misosi kibao...
 
Ahahahahahahahahahahahahahaha!
 
Hahahaaa baba msiwape ronja madogo wacha waje wakutane na mziki wa kenge wa pakistan wataelewa tuu mbona hua wanakimbiaga na vyeti wanaacha tranker la ngou kila siku full kubeba kupeleka mein get wenyewe wamedoji[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kenge wa Pakistan Ndio nn?
 
Mtaopangiwa kanembwa pale jamani sahauni mayai maziwa samaki yan pale mboga ikibadilishwa ni wametoa mboga ya majani kwenye nyama wameweka kabeji.....vikosi vingine misosi kibao...
Kumbe nyama ipo, nilidhani ni majani tu. Basi kumbe bata.
 
Duh! nimegundua wengi humu wanawaza vyeo tu. Inabidi kujiandaa sana kisaikolojia maana unaweza kujikuta miaka 10 baadae bado mtu private tu. Afu pia kuna hata kukosa JWTZ.
 
Back
Top Bottom