Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mamaee..nikikuta kuruta na nyoka wanapigana,namsaidia nyoka.teh teh teh huu msemo ulikua unanchekesha sana.

Na ni kwa sababu kuruta huwa hana wema kabisa[emoji1] [emoji1]
Bora nyoka kuliko hawa chapa nyau
 
Wakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan

Daah we mwanangu nishaona utakuja kuwa disappointed sana

Anyway utaanza na uprivate (mabega matupu).Then utaanza panda mdogo mdogo to koplo na kuendelea

Kama ukipata zari ukaenda TMA ndio utaanza na nyota moja then mbili na kuendelea

Je ,are you sure na form six hiyo (sijui combination gani) utaenda monduli?

Jiandae kisaikolojia kwa chochote
 
hahaha manina jeshi siyo sehemu ya kufata cheo mkuda ww jeshi huliwezi ww lazima utoroke ww jeshi now days wasomi tupo wengi tu ww unategemea na form six yako.ukimaliza tu uwe afisa form six ni sawa na darasa la saba now days
Hahhh Pole pole nanga, nmetunia tu cheti cha form six kuingilia Jkt,,,ila nmemaliza digrii ya ualimu mwez huu,,nlfanya application ya Jkt nikiwa bado chuo
 
Daah we mwanangu nishaona utakuja kuwa disappointed sana

Anyway utaanza na uprivate (mabega matupu).Then utaanza panda mdogo mdogo to koplo na kuendelea

Kama ukipata zari ukaenda TMA ndio utaanza na nyota moja then mbili na kuendelea

Je ,are you sure na form six hiyo (sijui combination gani) utaenda monduli?

Jiandae kisaikolojia kwa chochote
Nmekusoma mkuu
 
Hahaa eti waziii!!!baba mmeiva!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahhh Pole pole nanga, nmetunia tu cheti cha form six kuingilia Jkt,,,ila nmemaliza digrii ya ualimu mwez huu,,nlfanya application ya Jkt nikiwa bado chuo
Daaaah wee mhuni njoo 841 KJ uwe unakula tano kila wakat umeiva hadi unaleta raha jeshi sifa wepesi
 
Wakuu, Hivi jeshi ishu ya GPA Ina value yoyote au hata ukiwa na GPA ya 1.9 Au upper second above 3.5 Value ni moja?
 
Back
Top Bottom