Mkuu, mzigo bado upo?Samsung S5 imekufa display naiuza kama spare...
40kView attachment 991651View attachment 991652
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Mkuu unanipa uhakika gani kuhusu hizo parts kuwa ni nzima isipokuwa ni kioo tu?
Sorry kwa kuchelewa mkuu.Sasa fanya hivi piga picha ya hiyo saketi maeneo ya karibu na simcard unitumie nikuchoree mchoro.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
hapana mkuu aijafunguliwaImewahi kufunguliwa?
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Sorry kwa kuchelewa mkuu.
Hazifanyi Kaz no 369 na #View attachment 1007687View attachment 1007688
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia nimekuta ziko tofauti mkuuJaribu kuangalia imel n za ndani nje kama zinaendana.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
kwa hyo nifanyaje kiongoz inanisumbua sana..nakosa furaha ya kutumia smartInamaana hiyo simu imewahi kubadilishswa im n na hiyo im n wameiwekea kwenye simu nyingi ndio maana inakusumbua.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
inaweza kutengenezeka ikarud kwny hali yakeInamaana hiyo simu imewahi kubadilishswa im n na hiyo im n wameiwekea kwenye simu nyingi ndio maana inakusumbua.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
kwa mtu nilibadilishna nae na tcno nikamuongeza na helaHiyo simu ilinunua kwa mtu au dukani.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
hata week bado mkuu ndo nmegundua ilo tatzo ila cha ajabu ukiwa maeneo ya mjin minara fullUmeitumia muda gani?
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Hiyo simu labda itakuwa iliibiwa na ndio maana wakaamua kubadilisha im n au hiyo simu huko ilikotoka itakuwa ilikuwa inasumbua kwahiyo walibadilisha saketi kwahiyo wakati fundi anaifunga alisahau kuweka vizuri waya za netwk.hata week bado mkuu ndo nmegundua ilo tatzo ila cha ajabu ukiwa maeneo ya mjin minara full
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekubali mkuu shukran Sana..........
Mkuu angalia vizuri ktk simu yako hapo nilipo kuchorea kuna diod imengoka wakati mteja anatoa laini. kwahiyo ww unga direct hizo button zitafanya kazi.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Imekubali mkuu shukran Sana..........
Nikusumbue tena
Hii nyingine haiwaki....ila ukichomeka chaji in charge vizuri.... sijui imekaya njia gan..View attachment 1009648View attachment 1009651
Sent using Jamii Forums mobile app