Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Msaada
Screenshot_2018-12-11-15-08-53.jpeg
 
waliniambia niagize nigeria na kuna mtu special wa haya mambo, je wewe una uzoefu nayo aya mambo?
Hapana na mimi hapa ndio nawaza ni wapi nitaipata maana mtu kaenda tecno customer care kakosa hadi nimejaribu kama online inauzwa hata sijaona imetajwa mahalk
 
Asee nna simu yangu sumsang j7 inasumbua sana,nmeshaipeleka Kwa mafundi zaidi ya Wa 3 ila wote wamefail,simu haiingizi chaji ikiwa imewaka na ukiizima unaingiza Kwa mtindo Wa kuingiza na kuaxha..fudi wa kwanza alibadilisha system xharge ikagoma Wa Pili alishikashika ikagoma huyu Wa mwisho naealibadilisha kitu gani sijui naxho wapi..kama kuna fundinanaeza tibu ili tatizo tafadhali anisaidie..
 
Upo maeneo yapi mheshimiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom