Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

simu yangu samsung s8 touch yake imeacha kufanya kazi ghafla. nimejaribu kubadili screen ila bado tatzo pale pale. Je tatizo linaweza kuwa nini?
 
simu yangu imepata tatizo, inasoma ear phone wakati sijaichomeka nimehangaika imegoma, natatuaje wakuu? maana haitoi sauti,,,,, SIMU WX3
Chomeka earphones pin then utoe...kama shida itaendelea peleka kwa Fundi Wa hardware.... Atarekebisha
 
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.

kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.

tatizo linakuwa wapi?

inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.

kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.

sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.

na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.

mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.

siri ya ufundi simu.

1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.


kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.

tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart

lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
6f06381cdf67ac7eb57f385f2952f45f.jpg


na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno

fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5

harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3

na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
a944acda1b58e4797615d8effa838260.jpg

a67f5381f1ad179f27405ce8800c3316.jpg

Mkuu umepotea Sana wateja wengi nn.....

Nn soln kwa Simu isiyofanya kazi batan no 369 na # ? Ni T341
 
Mkuu umepotea Sana wateja wengi nn.....

Nn soln kwa Simu isiyofanya kazi batan no 369 na # ? Ni T341
Kazi nyingi sana mkuu. kwani ww ni fundi nataka nikusaidie hilo tatizo lako

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Samsung J5 inasumbua upande wa Internet Minara inakuwak iapanda na kushukushtuka na sasa iv ndio hata data aiwakaiwaki kabisa .Samsung j5
 
Back
Top Bottom