Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Sasa fanya hivi piga picha ya hiyo saketi maeneo ya karibu na simcard unitumie nikuchoree mchoro.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Sorry kwa kuchelewa mkuu.
Hazifanyi Kaz no 369 na #
1548754929199.jpeg
1548754971663.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata week bado mkuu ndo nmegundua ilo tatzo ila cha ajabu ukiwa maeneo ya mjin minara full

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo simu labda itakuwa iliibiwa na ndio maana wakaamua kubadilisha im n au hiyo simu huko ilikotoka itakuwa ilikuwa inasumbua kwahiyo walibadilisha saketi kwahiyo wakati fundi anaifunga alisahau kuweka vizuri waya za netwk.

Kwahiyo kwanza mtafute fundi mzuri aifungue aziangalie waya za netwk kama zipo vizuri.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
f677849e010815938dd56665271a4a3f.jpg


Mkuu angalia vizuri ktk simu yako hapo nilipo kuchorea kuna diod imengoka wakati mteja anatoa laini. kwahiyo ww unga direct hizo button zitafanya kazi.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Imekubali mkuu shukran Sana..........
Nikusumbue tena

Hii nyingine haiwaki....ila ukichomeka chaji in charge vizuri.... sijui imekaya njia gan..
1548945319181.jpeg
1548945420467.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom