Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Ulipeleka kwa mafundi wakuflash au wa hardware

Sent using Jamii Forums mobile app

nlinunua sasa baada ya sku6 nkawa nmeiweka chaj kwenye pc kwa ktmia USB. na nikawa naitmia intanet kama kwa masaa manne na chaj ikawa haipand wala haishuk (ilkuwa ikcheza kat ya 19 na 21)
nkaitoa baada ya mda mfup nkaizima.nilipowasha ikawaka lakini ikawa ina display wallpaper tu.
na uki touch hai sense, ila uki bonya power button zinatokea zile commands (reboot, switch off,etc) na ukibonya ina tii.
yaan uki tach kwnye restart ita restart, na knye switch off itazma...
na m2 akipga inaita lakn huwez kupoke.

FUNDI WA KWANZA
akasema inabid kuiflash. akaflash ikawa inawaka na inaishia logo 2 (itel)
kwa kuwa nlkuwa mkoani.
nkaja dar...
nkaenda k.koo kufatlia warranty.
wakasema simu imefunguliwa.
na mashine imekufa inabd 87k il kununua mashne mpya.nkchek smu nmedaka 150 afu niongeze tena .
nkasepa

FUNDI WA PILI
k.koo akasema inabd kudanlod mafail ya simu na kuyatia...(jarbio ambalo hata wa kwanza alisema alijarbu kulifanya)
ndo akajarbu lakn mwisho wa sku ikawa haiwaki kabisaaaaa.

nkaambiwa nitafute mashineeee mpya.

FUNDI WA 3.
huyu alijarbu kuichoma choma cmu na moto naye akashindwa

.....
 
Hahahaha
 
Nina S6 edge iliingia kweny maji nikawahi kuitoa lakn ilikuwa haina chajii nikaiweka nyuma ya frij kama masaa 10 nikaichomeka charge ilikuwa inapata moto tuu lakn ikakataa kuwaka nikaambiwa nieke kwenye Mchele nikaiweka kama siku mbili sasa HIV nikiichomeka charge inaonyesha inaingia lakn mwisho wake ni asilimia sifuri tuu hats ukiichaji Siku nzima asilimia ni hyo hyo sifuri tuuu

Wapatkana wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom