Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Okay. Kioo kinabadilishwa na hilo tatzo la kuchelewa kuwaka kwa experience yangu ya kazi inaniambia kuwa linaweza kuwa tatzo la software, kwahyo inatakiwa iflanyiwe operation ya flashing
Asante kiongozi. Na gharama zake zinakuwa vp kwa mafundi maana nipo huku nje ya mji!?
 
Asante kiongozi. Na gharama zake zinakuwa vp kwa mafundi maana nipo huku nje ya mji!?
Inategemea upo maeneo gani. Ungeweka na location yako wadau ambao wapo arround na ww wakurukie hapa hapa
 
  • Thanks
Reactions: Gru
Samsung S5 kioo kuflick ikiwa ktk low brightness ni nini? Au muda mwingine kinazima kabisa hakioneshi kitu ila ukitouch unasikia kabisa unatouch kitu.

Kikizima ni mpaka kipate joto kali sana ndo kinawaka, nini tatizo wakuu?
 
Inategemea upo maeneo gani. Ungeweka na location yako wadau ambao wapo arround na ww wakurukie hapa hapa
Nipo kibaha ndani ndani huku. Na huwa ninakuja mara kwa mara mjini so wewe unapatikana maeneo gani!?
 
Habari nina nokia hapa 1248 maarufu kama obama haikubali kuwaka wakuu point on/off p- inasoma 577 na p+ inasoma 596 msaada kimawazo na nina huawei y330-u11 inawaka na kujizima yenyewe.
 
Nauza simu Oppo A37 ilizima tu ghafla, yeyote anaeihitaji anicheki PM iko full na Box lake.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom