Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mkuu sory, nna laptop yangu nikiwasha inadai hard disk password, na cjawah kuiwekea, nmepeleka kwa mafund baadh wanajarbu kutoa imewashinda na kuiformat hard disk pia wameshindwa, plzz km una weza kutatua tatzo langu dm me plzz, au nichek 0717969791
Ni HDD au ni BIOS?
 
Sorry Guys kusema maneno yafuatayo, Mafundi simu weni hawajui au sio mafundi, nimepeleka kiji-tecno changu Boom J8 naona wameishia kuiharibu zaidi na zaidi, ilienda ikiwa inawaka imerudi hata kuwaka haiwaki. pesa imeliwa dah, kama kweli kuna fundi mzuri naomba nionane e faragha PM. Narudia tena kusema samahani
 
Sorry Guys kusema maneno yafuatayo, Mafundi simu weni hawajui au sio mafundi, nimepeleka kiji-tecno changu Boom J8 naona wameishia kuiharibu zaidi na zaidi, ilienda ikiwa inawaka imerudi hata kuwaka haiwaki. pesa imeliwa dah, kama kweli kuna fundi mzuri naomba nionane e faragha PM. Narudia tena kusema samahani
Ndo utaje location yako na tatzo la simu yako then watu wakufate huko.
 
Aisee simu yangu ni 4.7 iphone 6 imeuwa backlight ic is there anybody amaweza nisaidia?
Kama kunaye naomba ani pm bac
 
Ndo utaje location yako na tatzo la simu yako then watu wakufate huko.
Techno Boom J8, ilikua attacked na Virus, baadae ikawa ukiizima ukiiwasha tena inaishia kwenye ku-display Boom.....Niko Ubungo
 
Natafuta AC za sony Ultra Z , charging haipeleki moto kwenye betri inavyonya badala ya kucharge
 
Nina simu yangu HTC HD7...ni windows phone...(window 7)...kuna kipindi ilikuwa ikiwaka inaishia kwenye logo tu....nikapeleka kwa fundi mmoja Morogoro akanambia inabidi aiflash.....alifanya hivo na ikawaka lakini kukawa na tatzo jingine ambalo mpaka leo kila nikipeleka kwa mafundi wa hapa Moro wanaahindwa.....haiwezi kutuma SMS...SMS ikiingia unaweza kuisoma tu lakini kuifungua yote haiwezekani.....and haiwezi kisave namba tena especially kwa majina.....vile vile WhatsApp yake haifanyi kazi tena....(japo hili LA watsap nilifuatilia nikaambiwa watsap hawasupport tena hizi simu..)..naomba msaada please
 
Nina Xperia P...nilidondosha kioo kikapasuka...pia hausing yake haipo kwenye hali nzuri ...wapi naweza kupata kioo cha hii simu?.....
 
Nina Xperia P...nilidondosha kioo kikapasuka...pia hausing yake haipo kwenye hali nzuri ...wapi naweza kupata kioo cha hii simu?.....
 
IMG_20170916_104111.jpg
Habari mkuu kwa yeyote mwenye duka,fundi simu nahitaji hiyo housing check tufanye biashara.NOKIA HOUSING N97
 
Wasalaam wakuu! Bila kupoteza wakati! Tecno W3 LTE ilizima ghafla nikafikiri ni charge, baada ya hapo ikawa hata ukiweka kwenye charge haitoi indication yeyote, nikapeleka kwa fundi' kuingiza kwenye pc ikasoma ila yenyewe haiwaki, yule ndugu kuna file ali update ikawaka ila ikawa nzito sana na baada ya hapo hata passcode nilizokua nimeweka zika goma! Yule ndugu akashauri kui flash, kwa bahati mm ni mfuatiliaji kidogo, niliona ka download SCATTER FILE na baadae aka download FRAMEWARE 9..MB ya tecno w3lte zote aka extract kwenye ile software aliyo kua akiitumia, zoezi limeenda mpaka mwisho ngoma ika goma akadai inabidi adownload FRAMEWARE iliyo UPDATED ambalo ni kama 1.25GB, baada ya hapo akarudia zoezi kwa file jipya ngoma ika dinda kabisaaa, nikampa pesa ya bandle aliyo tumia nikaondoka nikaenda kwa jamaa mwingine nika muelezea kua ngoma imezimia kwenye FILE wakati wa kuflash nae kapambana nayo akairudisha bila jibu ikabidi nifufue LG G2 iliyo pasuka kioo zamani.! Hii tecno nahitaji irudi hewani kama kuna mtu ana ubavu nayo nimpe kazi!:!
 
Tecno W3 pamoja na W4 zina huo ugonjwa wa kuzima ghafla, kuwaka pale zinapojickia au kuleta multi colours kwenye screen as if screen ni mbovu but same screen ukiweka kwenye cmu nyingine inapiga kazi vema tu... SOLUTION.. ukihangaika nayo hyo itakupotezea tu mida na real solution ni kubadilisha circuit ambapo inapatikana kwa elf50 k koo mpya kabisa au ukipitia kwa mafundi utaipata kwa bei pungufu kidogo au unaqeza kwenda tecno service centre na watakuuzia hyo kwa elfu80 na unaacha cmu kwa muda wa cku3 then watakujulisha
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom