Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

Unauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....

3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500

Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...

kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...

Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
Tupatie no. mkuu inaoneka umebobea
 
Mkuu nimeona bei ya vifaa vya simu umeorodhesha ukionesha bei nafuu kidogo nimevutiwa na bidhaa yako hvyo nilikuwa na wazo la kufanya hiyo Biashara bado sijafaham Mtaji utanighalimu kiasi gani!

Naomba ushauri wako katika hili najua we ni mzoefu sana kwenye hiyobiashara!
 
Unauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....

3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500

Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...

kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...

Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
Mkuu, nisaidie kupata kioo cha tecno pad 3.
 
Nahitaji spare ya kioo cha Samsung S7 EDGE..... kimepasuka na kutengeneza kijistari cha rang baada ya kudondosha simu...... 0718 321418..... Nipo MOSHI
 
Natafuta kioo cha samsung A5 2017 model number SM520F.
Naomba kujuzwa kama kinapatikana na bei yake
 
Back
Top Bottom