Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

Mkuu ,habari

Vitu kama hivi ukimtumia Pm inapendeza sana sana ,maana customers ignorance ni ktu kizur katika biashara hasa tanzania.

Usiwe unafanyia hiv uzi wa mtu wa biashara unamperushia ndege wake ,kila mtu anatafuta na anakutana na wateja wake katika biashara yake.

Hope utanielewa na si kukwazika hata kidogo

Asante.

Unauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....
3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500
Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...
kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...
Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
 
Usijali amefanya vizuri pia, bila shaka atafuatwa yeye, akipata yeye mungu mkubwa ni baraka pia watoto wake ni wetu sote
So
Wakuu mnunuzeni premiter , ana bidhaa zote oruginal zaidi, na bei ni ndogo sana

Pia
Tunawakaribisha sana kwenye biashara hii
Ambao mnatamani kuanza biashara hii inalipa pia
Kava unanunua 1000 kwa mrembo premiter unauza 5000, Faida ni kubwa so msikae bila biashara.
Mnakaribishwa mno
 
Usijali amefanya vizuri pia, bila shaka atafutwa yeye, akipata yeye mungu mkubwa ni baraka pia watoto wake ni wetu sote
So
Wakuu mnunuzeni premiter , ana bidhaa zote oruginal zaidi, na bei ni ndogo sana
Pia
Tunawakaribisha sana kwenye biashara hii
Ambao mnatamani kuanza biashara hii inalipa pia
Kava unanunua 1000 kwa mrembo unauza 5000? Faida ni kubwa so msikae bila biashara.
Mnakaribishwa.

Hajafanya poa ,hope atajirekebisha ,
 
Hajafanya poa ,hope atajirekebisha ,
Unajua maana ya uzuri na ubaya ni kitu kisicho na tafsi sahihi sanaaa maana kila mtu ana anavyo tafsiri jambo.
Ngoja nikupe sifa zangu.
Ukitaka kufungua duka kama langu pembeni yangu nakushauri 100%
Ukiniuliza chochote kuhusu biashara ya vifaa vya Simu nakuagizia hadi kiwandani
Sitapungukiwa, ukifanikiwa wewee , na mimi kuna namna through you Mungu Atanibariki, au siku nikianguka utaniinua.

Uchoyo, chuki, sifa za kijinga na ubinafsi ni sumu kubwa mno maana inauaga polepoleee
 
Haswa

Ushirikaiano ni jambo la Mhumu sana .
 
Unauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....
3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500
Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...
kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...
Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
Mkuu kama nahitaji touch ya TECNO W3 LTE na Screen protector yake ile OG?
 
Touch 10,000
Ku bandua hiyo Touch iliyopo 5000
Ufundi 5000
Protector ya 3D 7000

Jumla = 27,000

Simu yako inakua mpya Kama ulivyoinunua kutoka Dukani.
 
Na kama nahitaji kuagiza tu ili nitengenezewe huku gharama zake zikoje?
 
Back
Top Bottom