Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,457
Bei nimeweka kwa jedwali hapo chini
Wasiliana nasi 0625868296

Pia tunauza jumla
1. glass za kawaida jumla 700
2. Glass za 3D 3000
3. Makava ya autofocas 1500
4. Chaja 3000
5. Earphone 2500
6. Makava ya urembo 3000
7. Usb 1500 n.k
Tupo Tanga
Tunaweza kutumia popote Tanzania
IMG-20190417-WA0121.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20190517_105219_5.jpeg
    IMG_20190517_105219_5.jpeg
    63.3 KB · Views: 79
  • IMG-20190417-WA0110.jpeg
    IMG-20190417-WA0110.jpeg
    27 KB · Views: 100
Unauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....

3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500

Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...

kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...

Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
 
Wewe ni dungurushi tu na mkatisha tamaa kila mahali mpo
Maofisini
Kwa biashara
Mashuleni na
Mtaani
 
Sikukatishi tamaa na wala sitofaidika popote nikiona leo hii umeanguka..nimekushauri Tu upunguze BEI ila kama nimekosea kukushauri na umechukulia vibaya ushauri wangu umeniona kama mdungurushi kama ulivyoniiita..SAMAHANI SANA,NISAMEHE KWA KUKU KOSEA haikua nia Yangu kukuharibia mood yako.
 
Unauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....

3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500

Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...

kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...

Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
Tena wewe unauza vitu kama hivi hukupaswa kuingilia uzi wangu kikuda maana zako huwa siziingilii wala kuzisemea vibaya
Ni aibu sana kuwa mkatisha tamaa, basi wauzie wewe.

Wateja samahanini:
mtapata bidhaa nilizozitaja hapo kwa @pirimeter
Yeye anazo kwa bei nafuu kuliko sisi
Aweke namba tu au tembelea nyuzi zake utapata namba zake
 
Mkuu umepaniki sana ,,hii ni biashara tu ,pia hili ni jukwaa huru na lina watu wa kila aina

Biashara ni ushindani na jaribu kutoshika hasira haraka ,

Nishawahi uza mtumba mtu anajaribisha kabisa afu ametoka kuuza mkaa anakuambia ngoja nikatafute pesa ntakuja ,na nikamchukulia poa tu ,na alirudi na kunua na a aliniletea wateja wengi sana sana.

Je hapo mm ningemjia juu si ningepoteza sana.

Kwahiyo jitahidi kuwa na uvumilivu katika ulingo wa biashara.

NB. Unaweza ukamfuata Mkuu Parameter pm ukamwomba afute reply yake ,inakuperushia ndege wako.

Huo ni mtazamo wangu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom