Mafundi magari(makubwa na madogo) wanahitajika

Mafundi magari(makubwa na madogo) wanahitajika

vipajiliink

New Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
4
Reaction score
2
Uzoefu usiopungua miaka 2
maombi yalepelekwe vipajilink jengo la (african building) limetazamana na hospitali ya aar -moroco
 
'wapo wengi tu uchochoroni,weka vigezo tujue unataka wenye vyeti au wa uchochoroni,elimu yake,ikiwezekana na malipo pia'
 
NINA CHA CHETI CHA GRADE II kutoka VETA na uzoefu wa miaka 3! namba yangu ni: 0652 045 905
 
Weka contact hata za namba za simu iwe rahisi kukupata>
Thanks
 
Back
Top Bottom