BabaC
Member
- May 21, 2013
- 94
- 60
Mimi nachukua fursa hii kuwafahamisha kuwa nina ofisi ya ushonaji na ipo maeneo ya Mbezi Beach unashukia kituo cha Goigi then unapanda na barabara ya kuelekea hospitali ya Masana.Mimi ni fundi mzoefu wa enzi na enzi nashona nguo za aina zote, nashona nguo za maharusi, nguo za kutokea usiku, suti, nadizaini mapazia ya aina mbali mbali.Pia napokea order za sare za ofisini, mahotelini na za mashuleni.Karibuni sana muniunge mkono, nguo yako ikiharibiwa utarudishiwa kitambaa chako na ghalama uliyotoa plus nauli.Nasema hivo kwa kuwa najiamini mimi na nawaamini vijana wangu so kazi yangu siyo ya ubabaishaji.Kwa wakazi wa Mbezi, Tegeta, Bunju na Boko hakuna haja tena ya kukimbilia Mwenge, Kijitonyama na Sinza maana huduma imesogezwa karibia na wewe.Wasiliana na mimi kupitia namba 0717 671 273