Mafumbo kwa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafumbo kwa watoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by malisak, Aug 3, 2010.

 1. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Jamani kumbe sometimes mafumbo ya kimapenzi kwa watoto ni muhimu ee!!,

  kuna jamaa humuhu jf simtaji jina alinipa stori moja anasema kila akirusi kwake anakuta watoto wake hawajalala wanaangalia mamushka na tamthilia nyengine ambapo anashindwa kula uroda na mkewe mapema kwakua ana vyumba 2 na sebule kwake (ni vile chumba,chumba na sebule kati),ambapo humpelekea kulala bila kupata kitu siku nyengine.tabia ile ilikua inamkera sana akatafuta mbinu,akawa akirudi anajifanya kalewa na kuimba kipande hiki

  ''watoto kalaleni mama yenu nataka mkomesha leo''

  watoto nduki wanajua kutakua na vurugu muda si mrefu, ikawa ndio tabia yake kila siku mpaka inajenga mazowea watoto ikifika saa 12 jioni tu wanajifanya kujisomea na mweishowe kula kulala.kale kawimbo kalimsaidia sana kuwapiga watoto fumbo(jamaa mbunifu kweli.
   
 2. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hao watoto sijui wakoje...mie nisingekubali eti amkomeshe mama haki tena siendi kulala!!!!
   
 3. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Utaonekana huna adabu na dingi atakuadhibu
   
 4. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sasa sibora anipige mie kuliko kumpiga mama yangu..... :A S-danger: .....

  anyway back to the topic.... inabidi hawawezi ku do...kimya kimya.... lakini sio lazima kudanganya watoto.... mie ningewafundisha tuu adabu ya kulala mapema.....

  Time to bed

  Why mom? its just 2 PM (8 PM)

  Yes good boys/girls sleeps early...now be a good boy!!

  but mom...

  No buts just Go to bed
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  weken sab ufa apo rum kwenu!!!
  +akikisheni kitanda akipg kelele +mama au baba halalamiiiiii kiiiivo then poa tu kmya kmya mnamchnja simba kwa raha zenu bt km mkiwa mwafanya km mwacheza pono makelele kibaaaaaao apolazima mtafute mbinu mbadala!!!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  weken saund proof
  +akikisheni kitanda chenu hakipig kelele
  +msiwe mnashangilia saaaaaaaaana mpk watoto wakaskia manake wengine wanapiga kelele utasema wanacheza pono!!!!
  kimya kimya tu mbona mzuka yani mnamchinja simba taratiiiiiibu mkitoka chumbani wepeeeeeeeeeeeeesi wenyewe!!!!!
   
 7. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahhaha Rose uminichekeza..sasa hao kwenye pono si wanakuwa na microphones eeeh?
   
 8. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunaishi nae nyumba moja wakati ndo naanza maisha. Ingawa jamaa alikuwa anfungulia muziki kwa sauti ya juu bado kelele za yule mama zilikuwa zinazidi za redio! Wallah sijui alikuwa anamfanyaje!!
   
Loading...