Ila Zitto na wewe si sehemu ya kundi la mabilionea? au unakuja hapa kutusanifu? huna credibility ya kuwanyooshea vidole wengine, wewe ni Paulo na una mikono michafu usije kucheza na sisi.
Mikono michafu?Nadhani mikono michafu ni ileinayochuruzika damu ya CHACHA MAIGE WANGWEIla Zitto na wewe si sehemu ya kundi la mabilionea? au unakuja hapa kutusanifu? huna credibility ya kuwanyooshea vidole wengine, wewe ni Paulo na una mikono michafu usije kucheza na sisi.
Wee umeamua kusema kwasabubu husikii au huelewi ....subiri helkopta na magari yaje endelea kuchangia hoja ya zito acha umbea
MIKONO MICHAFU NI ILEINAYONUKA UFISADI WA hela za M4C za watanzania walala hoi,Muda huu zimeelekezwa kumalizia nyumba ya LEMAIla Zitto na wewe si sehemu ya kundi la mabilionea? au unakuja hapa kutusanifu? huna credibility ya kuwanyooshea vidole wengine, wewe ni Paulo na una mikono michafu usije kucheza na sisi.
Ha ha haaa kazi ipo hapa leo....acha niendelee kuwa msomajiI like it.."JK is a past brother .... he has passed expiery date" Ok, who is your current One? I trust on you "Mr Strategic" sitaki kuwanyima wengine utamu, mbona "umerukaruka" issue ya POLICCM kuuwa mafukara? ama ndio vioja!! mafukara million30, matriionea30. Mkuu, Binafsi sichukizwi daima na mtoa hoja nachukizwa na vitendo vya mtoa hoja hasa kijipendekeza CCM, kuudhofisha upinzani na vijana pia harakati za CDM , na nitajadili vitendo vya mtoa hoja na mjadala unaendelea...
Sina imani na wewe Period. Nilimpenda sana Zitto wa mwaka 2007 na siyo huyu Zitto Billionaire wa leo, kipenzi cha wana CCM.according to you.
wenye akili fupi hujadili watu. watu makini hujadili masuala.
ukikosa hoja usilete vioja. shuka nyanga sio kubwabwaja
Slaa amechota milion 140 za chama na kujengea nyumba huko tegeta,Lema amekula pesa za m4C mpaka sasa ruzuku ya chama haiendi mikoani ,mbowe amekiuzima chama mafuso mabovu hayo yote hamuoni eti kwa sababu wamefanya wakaskazini.
Gongo za asubuhi zina madhara yake Deus F Mallya kuna pimbi hapa nadhani hakuwepo wakati unatowa ufafanuzi kwa kila kilichojili kwenye ajali ya Chacha Wangwe na Members karibu wote walilidhika na maelezo yako.Mikono michafu?Nadhani mikono michafu ni ileinayochuruzika damu ya CHACHA MAIGE WANGWE
Gongo za asubuhi zina madhara yake Deus F Mallya kuna pimbi hapa nadhani hakuwepo wakati unatowa ufafanuzi kwa kila kilichojili kwenye ajali ya Chacha Wangwe na Members karibu wote walilidhika na maelezo yako.
Sisi kama JF hatuna tena muda wa kujadili kuhusu Chacha wangwe we have no time for stupidity Hoax.
lete hoja yako na ushahidi kama walivyofanya mwanahalisi kwenye ulimboka issue au police waliouwa mwangosi tuliona picha na story full au ufisadi aliousema slaa mwembe yanga.
kwa sasa nakushauri rudi ndani tujifungie tujadili lililopo la zito acha kuleta porojo huwezi tutoa kwenye issue ya ufisadi kwa umbea wako wa kitoto na kijinga elimika hivyo vipesa kidogo unavyo pewa kuvuruga humu havita kusaidia mwisho wasiku ndugu zako hata wewe mwenyewe huna uhakika dawa hosipitalini
nadhani hujapata lunch,mbona unatumia akili nyepesi sanaKinachonishangaza mimi ni kuona pro-ccm wote wamekuwa kipenzi cha Zitto...na kwakupitia thread hii
waweza kujionea mwenyewe. Chadema kazi mnayo!
according to you.
wenye akili fupi hujadili watu. watu makini hujadili masuala.
ukikosa hoja usilete vioja. shuka nyanga sio kubwabwaja
Sina imani na wewe Period. Nilimpenda sana Zitto wa mwaka 2007 na siyo huyu Zitto Billionaire wa leo, kipenzi cha wana CCM.
Kinachonishangaza mimi ni kuona pro-ccm wote wamekuwa kipenzi cha Zitto...na kwakupitia thread hii
waweza kujionea mwenyewe. Chadema kazi mnayo!
Wengi bado hawana habari kama Jembe lao limefunguwa thread huku JF ngoja watoke huko facebook saa hizi wanakusanyana na wataingia hapa kama vipanga.Kinachonishangaza mimi ni kuona pro-ccm wote wamekuwa kipenzi cha Zitto...na kwakupitia thread hii
waweza kujionea mwenyewe. Chadema kazi mnayo!
Zitto toka aanze siasa ni CHADEMA damu hadi moyoni kuanzia familia yake.Unaweza kutueleza Zitto yupo chama gani? kuwa makini usije kusitishiwa huduma ya bundle maana huna msaada.
Matola tumeshasema sana karibu thread mia juu ya Zitto! tusubiri matukio mengine tuzidi kuhukumu lakini huyu Mheshimiwa anapoleta mijadala ya issues hebu tumwage nyanga au tukosoe hoja yake mbele yetu na si kumsakama yeye binafsi.
Hebu tutafute zile thread za kumsema Zitto kuandika haya lakini hapa tuandike kwa hoja kuhusu mjadala ulio mbele yetu.