Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
hiyo ni siri ya kambi.Ebu tuambieni mmotokeana wapi? 😀 😀
hiyo ni siri ya kambi.Ebu tuambieni mmotokeana wapi? 😀 😀
Upo Sana Sana Umerudi Kwa Kasi😳Huu ugonjwa umerudi eti?
Huyo Nshomile anakula senene na lubisi sasa hivi 😀 😀

kumbe na lubisi unaijuwa
Nilishaigonga hiyo kitu miaka ya nyumakumbe na lubisi unaijuwa
![]()
Nilishaigonga hiyo kitu miaka ya nyuma
bila shaka ndimasi sio kitu kigeni kwako
ndimasi ndio nini?bila shaka ndimasi sio kitu kigeni kwako
![]()
Jaza Ugoro puani.
mkuu kwahyo unataka afe kabisa??
KoonaYaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵
Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Huwa napata tabu sana wakati wa kulala, yaani shuka lisiwe na vumbi hata kidogo, la sivyo usiku unakuwa mrefu na nitashindwa kulala. Ndio maana kwenda ugenini ni ishu sana kwangu!🤦🤦🤣🤣🤣Nakutania bhana
Mweleze,mweleze huyo
akikufuata inbox niambie nichome jukwaaWee,mie ningekuwa nakukomoa....ukinikera tu sinawi miguu,nalala ivoivoHuwa napata tabu sana wakati wa kulala, yaani shuka lisiwe na vumbi hata kidogo, la sivyo usiku unakuwa mrefu na nitashindwa kulala. Ndio maana haa kwenda ugenini ni ishu sana kwangu!🤦🤦
Sikomoki hivyo, ila huwa nawashwa hadi nabadili shukaWee,mie ningekuwa nakukomoa....ukinikera tu sinawi miguu,nalala ivoivo