Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 837
Naam GT nimerudi tena baada ya kutoka THA ambako tayari Mheshimiwa JK anapashughulikia nadhani it would be fair tukahamia kule wizara ya ARDHI ambako haijulikani kwa nini TITLE DEEDS zinachukua karne kutoka,MAFAILI YANACHOMWA MOTO/ AU YANAPOTEA kwa kusudi ili kuwe na delays na matokeo yake wananchi ambao kipato chai ni cha chini wanalazimishwa kutoa RUSHWA
sasa nadhani its about time tukawaname and shame wahusika pale na kama wenye JF mkiamua kuihamisha au kuamua kuibadilisha header kama ile thread ya THA na rushwa then hatuna budi kusema kuwa mtakuwa ma mafisadi kama hao ambao tunajaribu kuwa expose.