Mafisadi Wizara ya Ardhi

Mafisadi Wizara ya Ardhi

Hii ni wizara ambayo inanuka rushwa kila kona. Bila kujuana na mtu mambo hayaendi
 
kuna usumbufu sana wizara hii. Kupata offer inachukua zaidi ya mwaka mmoja.
 
Back
Top Bottom