Mafao kutumika dhamana mkopo ni kabla mwanachama hajafikia umri wa kustaafu

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,177
7,750
Chanzo gazeti la Nipashe la tarehe 20 Februari l, 2024.

Hakika taarifa hii ni faraja kubwa kwa watumishi wa umma ambao wengi wao wamekuwa wahanga wa mikopo umiza/nyonyadamu.

Mkopo huu utawasaidia kuwakwamua kiuchumi watumishi wa umma.

Watendaji wenye dhamana waache ukiritimba na figisu.
 
Weka taarifa yako vizur mkuu


Kwamba tanayakopa mafao ama ? Kwann wasi tupinhuzie tu mafungu
 
Tatizo watumishi wengi mikopo yao inenda jenga na kununua usafiri, hivyo wanajikuta wakiishi maisha ya tabu
 
Back
Top Bottom