1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92.
2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74.
3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46 sawa na ongezeko la Vituo 15.
4. Hospitali zimeongezeka kutoka 7 hadi 10 sawa na ongezeko la Hospitali 3.
5. Ununuzi wa Dawa na Vifaa Tiba Mkoa umepokea shilingi 19,751,050,000.00 za vifaa tiba, ikiwemo CT Scan, Digital X-ray Machine, Vitanda vya wagonjwa na Ambulance.
6. Mkoa umepokea kiasi cha shilingi 3,600,000,000.00 kwajili ya ununuzi wa Magari 12 ya kubebea wagonjwa.
7. Mkoa umepokea jumla ya shilingi 17,575,497,902.00 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali 6 za Wilaya, ukarabati wa Hospitali 3 pamoja, ukarabati na umaliziaji wa Hospitali moja katika Halmashauri za Jiji la Tanga, Mji wa Handeni, Wilaya ya Handeni, Mji wa Korogwe, Wilaya ya Kilindi, Wilaya ya Mkinga, Wilaya ya Muheza,Wilaya ya Lushoto, Wilaya ya Bumbuli, Wilaya ya Pangani na Wilaya ya Korogwe.
8. Mkoa umepokea shilingi 1,000,000,000.00 kwa ajili ya Majengo 3 ya dharura (EMD) katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, Wilaya ya Kilindi na Handeni.
9. Mkoa umepokea shilingi 1,137,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa afya 19 na kusaidia kupunguza tatizo la makazi kwa watumishi.
10. Mkoa umepokea shilingi 250,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.
11. Mkoa umepokea jumla ya shilingi 4,463,960,376.00 kwajili ya kuboresha miundombinu ya maji na Vyoo,Watu wenyenye mahitaji maalumu,Miundombinu ya kunawa mikono na vichomea taka katika vituo 71 katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
12. Mkoa ulipokea jumla ya Watumishi ajira mpya wa Afya 926 na kupangiwa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya. Katika kipindi cha mwaka 2021 hadi kufikia Mei, 2025 kuna jumla ya ongezeko la watumishi wapatao 1,195 kati ya waliokuwepo 3,185 hivyo kufikia jumla ya watumishi 4,380 waliopo kwa sasa.