Mafanikio ya Rais wa TLS

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
1,754
Likes
1,027
Points
280

JF Member

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
1,754 1,027 280
Wanabodi natumaini mko salama.
Hebu tuanze kuwanchambua viongozi mbalimbali waliokabidhiwa kazi na wanachi.

Kwa vile leo ndo naanza bandiko hili nimeona nianze na Rais wa TLS.
Siku nyingine nitakuja na viongozi mbalimbali wakiwemo marais wa Ngumi, TFF n.k

Wale wajuzi wa mambo hebu tujadili hapa changamoto zinazomkabili Rais wa TLS na Mafanikio yake tangu aingie Madarakani.

Mfano wa mafaanikio yake ni kuiwezesha TLS kujulikana kwa watu mbalimbali.

Mjadala umefunguliwa .. Matusi hayaruhusiwi.
 

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
1,754
Likes
1,027
Points
280

JF Member

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
1,754 1,027 280
Wewe kama nani, huyo rais wa TLS wanaotakiwa kumjadili ni wale anaowaongoza out of that ni unafiki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, usiseme hivyo.
Humu tumo watu wa kada tofauti. Hivyo wengine tunahusika kwa namna moja ama nyingine.
JF ni kubwa sana.
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,630
Likes
2,394
Points
280

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,630 2,394 280
Wanabodi natumaini muko salama.
Embu tuanze kuwanchambua viongozi mbali mbali walio kabidhiwa kazi na wanachi.
Kwa vile leo ndo naanza bandiko hili nimeona nianze na Rais wa TLS.
Siku nyingine nitakuja na viongozi mbalimbali wakiweemo marais wa Ngumi, TFF n.k

Wale ajuzi wa mambo embu tujadili hapa changamoto zinazomkabili Rais wa TLS na Mafanikio yake tangu aingie Madalakani.

Mfano wa mafaanikio yake ni kuiwezesha TLS kujulikana kwa watu mbalimbali.

Mjadala umefunguliwa .. Matusi hayaruhusiwi.
Kwa jinsi ulivyo kilaza na wa PhD hakuna awezaye kujadili upuuzi na mtu asiyejitambua!, rudi shule kwanza ndo uje kwa "Great Thinker" Na hoja zenye mashiko!
 

Handsome man

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Messages
901
Likes
934
Points
180

Handsome man

JF-Expert Member
Joined May 6, 2017
901 934 180
Hapana mkuu, usiseme hivyo.
Humu tumo watu wa kada tofauti. Hivyo wengine tunahusika kwa namna moja ama nyingine.
JF ni kubwa sana.
Unayajua majukumu ya rais wa TLS vizuri?
Na unajua vitu vipi ambavyo lisu kavifanya na ambavyo hajavifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
7,281
Likes
12,020
Points
280

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
7,281 12,020 280
Amepata pata mafanikio kidogo japo ana muda mfupu kwenye uongozi wake..
Kwanza anaongoza kwa kwa kushikiliwa na kuhojiwa polisi
Pili amefanikiwa kuongeza kesi za kujibu pale kisutu
Pia amefakiwa kuongoza mgomo wa wanasheria japo hili hajafanikiwa kwa asilimia 100.. anajitahidi kwakweli
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
2,366
Likes
2,864
Points
280

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
2,366 2,864 280
TLS imefanikiwa sana kipindi hiki kuliko wakati wowote wa historia yake.

"They" have at least understood that "they" are now in confrontations with no-nonsense democtratic/human rights defenders.
 

Forum statistics

Threads 1,191,008
Members 451,429
Posts 27,692,194