Mafanikio ya Rais wa TLS

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,353
9,605
Wanabodi natumaini mko salama.
Hebu tuanze kuwanchambua viongozi mbalimbali waliokabidhiwa kazi na wanachi.

Kwa vile leo ndo naanza bandiko hili nimeona nianze na Rais wa TLS.
Siku nyingine nitakuja na viongozi mbalimbali wakiwemo marais wa Ngumi, TFF n.k

Wale wajuzi wa mambo hebu tujadili hapa changamoto zinazomkabili Rais wa TLS na Mafanikio yake tangu aingie Madarakani.

Mfano wa mafaanikio yake ni kuiwezesha TLS kujulikana kwa watu mbalimbali.

Mjadala umefunguliwa .. Matusi hayaruhusiwi.
 
mafanikio hayawezi kuonekana moja kwa moja wakati hajatimiza hata mwaka mmoja.
 
Wanabodi natumaini muko salama.
Embu tuanze kuwanchambua viongozi mbali mbali walio kabidhiwa kazi na wanachi.
Kwa vile leo ndo naanza bandiko hili nimeona nianze na Rais wa TLS.
Siku nyingine nitakuja na viongozi mbalimbali wakiweemo marais wa Ngumi, TFF n.k

Wale ajuzi wa mambo embu tujadili hapa changamoto zinazomkabili Rais wa TLS na Mafanikio yake tangu aingie Madalakani.

Mfano wa mafaanikio yake ni kuiwezesha TLS kujulikana kwa watu mbalimbali.

Mjadala umefunguliwa .. Matusi hayaruhusiwi.
Kwa jinsi ulivyo kilaza na wa PhD hakuna awezaye kujadili upuuzi na mtu asiyejitambua!, rudi shule kwanza ndo uje kwa "Great Thinker" Na hoja zenye mashiko!
 
Mafanikio ya mwanzo kabisa ilikuwa kuishinda serikali kwenye ule uchaguzi wa TLS , kiasi cha kusababisha Waziri wa sheria kupepesuka na kuangukia kwenye michezo , mengine yanafuata .
 
Amekaa muda gani madarakani kwani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Amepata pata mafanikio kidogo japo ana muda mfupu kwenye uongozi wake..
Kwanza anaongoza kwa kwa kushikiliwa na kuhojiwa polisi
Pili amefanikiwa kuongeza kesi za kujibu pale kisutu
Pia amefakiwa kuongoza mgomo wa wanasheria japo hili hajafanikiwa kwa asilimia 100.. anajitahidi kwakweli
 
TLS imefanikiwa sana kipindi hiki kuliko wakati wowote wa historia yake.

"They" have at least understood that "they" are now in confrontations with no-nonsense democtratic/human rights defenders.
 
Back
Top Bottom