Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

MrRight

New Member
Dec 20, 2017
4
21
MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI

Mh.Rais Samia Suluhu Hassan:

Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025,
Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea kujengwa Mhandisi Mkazi ,Mhandisi Lutengano Mwandamo kutoka TECU July 2021 alikagua na kusema bwawa litaanza kujazwa na kufikia April 2022 ambapo kiwango cha maji kitakuwa kimefikia mita 163 tayari kuanza kufua umeme. Vyanzo vingine vinazalisha megawatt 1500 ukijumlisha na hii Megawatt 2115 tutaweza kutumia ndani na kuuza nchi Jirani.

Mradi wa Daraja la Surrender (GS E&C) lenye urefu wa mita 670 litatoa radha ya kipekee kutokana na aina ya ujengaji na hivyo litatoa taswira mpya kwa jiji la Dar Mjenzi wa GS E&C kutoka korea kusini amekamilisha kujenga na utazinduliwa Tar 27 Dec 2021.

Mradi wa Kigongo-Busisi unaendelea kujengwa jijini Mwanza daraja hilo lenye urefu wa mita 3,200(km 3.2) na barabara za Lami zenye urefu wa kilomita 1.66 litaunganisha maeneo ya Busisi na wilaya ya Sengerema na upande wa Kigongo wilaya ya Misungwi.

Barabara za Dar za mradi wa DMDP unaendelea kwa kasi sasa hivi madaraka ya usimamiaji yamepelekwa kwa wakuu wa mikoa.
Mradi wa uendelezwaji wa mto Msimbazi na ujenzi wa Soko kuu jipya la Jangwani la Machinga litakaloingiza takribani machinga 10,000 na hivyo kuboresha dhana ya wafanyabiashara ndogondogo wa Dar es salaam. Mradi huu utagharimu Dola za kimarekani millioni 100 sawa na Shillingi billioni 235 za kitanzania) zitatumika kujenga daraja la jangwani na kuboresha mto Msimbazi.
Barabara ya Mwendokasi ya DarBRT mwendelezo wa Phase 3 Magomeni-Ilala na Kariakoo-mbagala na juzi wakiwa mbagala Rais Samia alitangaza kupokea msaada mwingine na karibu inaanza phase 5 ya Gongolamboto.

Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya standard Gauge Railway -SGR wenye urefu wa kilomita 2,561 na unaendelea kwa kasi Dar-Moro tumefikia asilimia 70 inakaribia kuisha na eneo lililobaki ni la Pugu -Dar es salaam wakati huohuo ujenzi wa Morogoro makutupola Singida Dodoma umefikia asilimia 20 unaendelea vyema na tutaendelea mpaka kuifikisha Mwanza,Kigoma na Katavi katika Bandari ya Kalema.

Diplomasia ya kimataifa imeimarishwa na inazidi kuimarishwa.toka mama ameingia madarakani uuzwaji wa bidhaa zetu kwenda Kenya kwa mara ya kwanza tumeuza Zaidi kenya kuliko tulivyouziwa.

Toka Aingie Rais Samia Kwa mara ya kwanza tumeweza kuingiza Meli kubwa yenye magari mengi toka tupate uhuru.

Toka aingie Rais Samia Kwa mara ya kwanza tumeweza kuingiza bidhaa nyingi Zaidi kupitia bandari ya dar es salaam na 60% ya bidhaa hizo zinaenda nje ya nchi.

Uwezeshwaji wa mazingira Rafiki ya uwekezaji na hivyo kuzivutia Kampuni za uwekezaji na sasa zinazidi kuingia, tuna kampuni mpya za madini na pia uwekezaji kwenye sekta mbalimbali za kilimo utalii.

Hali ya usalama wa Raia ana mali zao imekuwa shwari ,katika hotuba ya Rais Samia ya kwanza alizungumzia kuhusu Haki ,Amani na akasema ataongoza kwa haki na sasa tumeiona leo hii kuna Watu wameachiwa huru ambao kesi zao zilikuwa zimekaa muda mrefu zingine zilimalizwa kwa kukubaliana ili kuondoa mlolongo wa kesi mahakamani

Mkopo wa Riba wa Trilioni 1.3 wa kupambana na Uviko -19 umepangiwa mpango kazi na kugawanywa kwa kila Mkoa na kugusa kila sekta Afya ,Elim una Miundombinu na mgawanyo ukawekwa wazi kwa kila mwananchi nah ii imeongeza Imani ya Wananchi kwa Serikali na Chama.

Usawa kwa Jinsia na kumkomboa Mwanamke Kiuchumi na kuwapa nafasi mbalimbali za kiuongozi. Leo hii tumeona Kina mama wakiongoza nafasi mbalimbali kwa weledi na fursa za kiuchumi kishikwa na jisia zote kwa usawa bila kubagua .

Katika uongozi huu wa sasa Mpaka sasa Tumeshapokea Ndege 11 na mara ya Mwisho Octoba 7 ,2021 katika uwanja wa sheikh Abeid Aman Karume Unguja tulipokea Ndege mbili za Airbus A220-300 kutoka Canada zilizoewa jina la Tanzanite na Zanzibar na kukamilisha ndege zetu kufikia 11 mpaka sasa. Ndege nyingine 5(Boeing 787-8 Dreamliner mbili (2) ,AirBus 220-300 MBILI (2) NA Bombardier Dash-8 Q400 Moja(1) zimeshalipwa na zitakuja baadae huu ni uendelezwaji na ukamilishaji wa Ilani yetu ya CCM .na hii itatuimarisha kibiashara na kuwa amsha amsha ya utalii wetu wa ndani kimataifa.

Ameonesha umahiri wake hasa katika kuweka usawa wa kijinsia, Kumkomboa mwanam ke kiuchumi na Kumuinua mwanamke katika nafasi mbali mbali za uongozi. Hatua hii muhimu na yakipekee imewafanya wanawake kutembea kifua mbele katika malezi ya familia pamoja na kujitambua na kukimbilia fursa mbalimbali za kiuchumi na uongozi.

Uongozi wako umewapa nafasi wasichana wanaopata matatizo ya ujauzito wakiwa shuleni kumaliza masomo yao baada ya kujifungua, hii imepokelewa kwa mikono miwili na jamii yote ya ndani na je ya nchi na hivyo kukidhi mikataba yetu tuliosaini ya kimataifa ya kumweleneza mtoto bila kubagua jinsia yake na sasa tuna program ya BINTI SOMA, TAIFA LINAKUTEGEMEA.

#SSH
#KMM
#PIM
#TANZANIAMOJA
#TEAMBOMBARDIER

https://t.co/QxcUZ32FKU

IMG-20211222-WA0019.jpg
 
View attachment 2053655
Huko kwenu bado viroba vinapatikana?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Haijawahi kutokea kama Samia Tanzania
 
Waimba kwaya mnatoa sauti ya kwanza kabisa, msisahau pambio na vigelegele.
 
Back
Top Bottom