Mafanikio sio ajira tu tujiajiri

arete

arete

Member
Joined
Sep 26, 2012
Messages
7
Points
0
arete

arete

Member
Joined Sep 26, 2012
7 0
Wadau tushirikiane kukumbushana maisha sio kuajiriwa peke yake. Vijana wengi wamedhani kuwa maisha pekee ya kumwezesha kushi ni kuajiriwa kwenye makampuni au serikali ndipo maisha yaweze kusonga mbele. Tumesahau ujasiria mali ambao tukifuatilia nyanja zake tutafika mbali tujiajiri kwani hata mavyuoni tumejifunza tusiwe waoga wa kujiajiri kumbuka hata mmuyu ulianza kama mchicha.
 
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
8,936
Points
1,225
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
8,936 1,225
Tatizo lipo kwenye mind zetu.kuzi change kazi sana..Lakn mdogomdogo tukumbushane tutabadilika
 
Smarter

Smarter

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Messages
463
Points
195
Smarter

Smarter

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2008
463 195
Mkuu Arete, wewe Umejiajiri katika nyanja ipi?, tupe uzoefu wako na Vile safari yako ilivyo katika Kujiajiri. Itatupa Moyo na Nguvu.
 
T

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
353
Points
0
Age
37
T

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
353 0
mkuu hiyo ni kweli ajira nyingi ni chanzo cha umasikini eg. ma graduate wengi wanalipwa kati ya 400,000/= hadi 900,000/= kwa mwezi hiyo ni mshahara. ukitoa matumizi unabakiwa negative, mjasiriamali yeye anachokipata kwa siku anakuwa ameshatowa cost zote kinachobaki ni profit but kwa muajiriwa mshahara sio net profit kwakuwa bado hujatowa matumizi yote ulio ingia mwenzi mzima, mimi binafsi kinachonilinda mjini ni biashara ndogondogo ninazofanya mshahara huwa unaishia wote posta kwenye lunch , nauli aka mafuta , kodi ya nyumba!!!!!
 
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,382
Points
2,000
Age
59
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,382 2,000
Wadau tushirikiane kukumbushana maisha sio kuajiriwa peke yake. Vijana wengi wamedhani kuwa maisha pekee ya kumwezesha kushi ni kuajiriwa kwenye makampuni au serikali ndipo maisha yaweze kusonga mbele. Tumesahau ujasiria mali ambao tukifuatilia nyanja zake tutafika mbali tujiajiri kwani hata mavyuoni tumejifunza tusiwe waoga wa kujiajiri kumbuka hata mmuyu ulianza kama mchicha.
Unasema kweli, lakini mbona hao wanatuambia walala hoi tujiajiri watoto wao wanabanana BOT, TRA, MIZANI-UJENZI, ni waganga wakuu wa wilaya, hospitali etc??????????????????????????????????????????????????????????
 
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Points
1,195
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 1,195
Kwa fikra za kwamba mtaji wa biashara ni hela tu sidhani kama dhana ya ujasiriamali itakwenda mbali. Watu wanahitaji kupambanua fikra zao nakuona kwamba mtaji halisi ni WAZO lenye kuleta tija ya biashara. Watu hawajiulizi ni kwanini wakenya wanafuata mashudu singida kupeleka kwao na sio yale mafuta ya alizeti. Hela kama hujui chakuifanyia ni sawa na lambalamba iliyoko nje ya jokofu. Waliosema MONEY IS THE MOST LIQUID ASSET hawakukosea. Money is shy, money is slippery ndio maana haionekani kirahisi.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,675
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,675 2,000

lakini ukiangalia hizi ni posts tu ambazo siku moja utaambiwa ustaafu tu kwa manufaa ya umma..lakini ukijiajiri(Large Scale Investments) Agriculture, Oil, etc usiulize capital unatoa wapi..amin ukiwa na jitihada ktk entreprenuership unashangaa issue zinaibuka tu..za kuweza pata capital..amin hivi..halafu..unaweza kuta familia yako inasahau..kuhusu dhiki..
 
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,382
Points
2,000
Age
59
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,382 2,000
lakini ukiangalia hizi ni posts tu ambazo siku moja utaambiwa ustaafu tu kwa manufaa ya umma..lakini ukijiajiri(Large Scale Investments) Agriculture, Oil, etc usiulize capital unatoa wapi..amin ukiwa na jitihada ktk entreprenuership unashangaa issue zinaibuka tu..za kuweza pata capital..amin hivi..halafu..unaweza kuta familia yako inasahau..kuhusu dhiki..
Nakubaliana na wewe, nachukia kelele za tujiajili wakati watoto wao wanawapeleka huko. Basi wape mitaji ya kujiajili, mtu anaweza kuwaelewa hata wakiwasokomeza watoto wao huko. Wazo la kujiajili ni zuri na linalipa kama kuna mitaji ya maana.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,675
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,675 2,000
Nakubaliana na wewe, nachukia kelele za tujiajili wakati watoto wao wanawapeleka huko. Basi wape mitaji ya kujiajili, mtu anaweza kuwaelewa hata wakiwasokomeza watoto wao huko. Wazo la kujiajili ni zuri na linalipa kama kuna mitaji ya maana.
mtaji wa kupewa mara nyingi kama hujui invest kwenye nin unaweza ukaishia kwenye..matumizi tu..cha msingi uhangaike mwenyewe kichwani uwe na ideas kibao za kufanya..maana kufeli kwam biashara moja kuzae nyingine na nyingine then hapo lazima uendeleee...
 
mutu ya watu

mutu ya watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2010
Messages
213
Points
195
mutu ya watu

mutu ya watu

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2010
213 195
Kwa fikra za kwamba mtaji wa biashara ni hela tu sidhani kama dhana ya ujasiriamali itakwenda mbali. Watu wanahitaji kupambanua fikra zao nakuona kwamba mtaji halisi ni WAZO lenye kuleta tija ya biashara. Watu hawajiulizi ni kwanini wakenya wanafuata mashudu singida kupeleka kwao na sio yale mafuta ya alizeti. Hela kama hujui chakuifanyia ni sawa na lambalamba iliyoko nje ya jokofu. Waliosema MONEY IS THE MOST LIQUID ASSET hawakukosea. Money is shy, money is slippery ndio maana haionekani kirahisi.
ni kweli wanafuata lakin ni baada ya kuwa na hela ya kwenda kununua huwezi ukafuata naukachukua hata kama bure utasafiri na nini utakula nini naona unaongea vitu vinaelea hewan tu
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,433
Points
2,000
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,433 2,000
mkuu hiyo ni kweli ajira nyingi ni chanzo cha umasikini eg. ma graduate wengi wanalipwa kati ya 400,000/= hadi 900,000/= kwa mwezi hiyo ni mshahara. ukitoa matumizi unabakiwa negative, mjasiriamali yeye anachokipata kwa siku anakuwa ameshatowa cost zote kinachobaki ni profit but kwa muajiriwa mshahara sio net profit kwakuwa bado hujatowa matumizi yote ulio ingia mwenzi mzima, mimi binafsi kinachonilinda mjini ni biashara ndogondogo ninazofanya mshahara huwa unaishia wote posta kwenye lunch , nauli aka mafuta , kodi ya nyumba!!!!!
Mkuu laini nne nyingi watu tunkula laki 300000, na kikubwa hata kama ungekuwa unalipwa 10 M bado si kitu, ajira binafisi ndo mpango mzima wakuu
 
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Points
1,195
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 1,195
ni kweli wanafuata lakin ni baada ya kuwa na hela ya kwenda kununua huwezi ukafuata naukachukua hata kama bure utasafiri na nini utakula nini naona unaongea vitu vinaelea hewan tu
Mkuu, MASHUDU is an idea for a viable business, money comes after a feasible idea. ngoja niendelee kuelea mutu ya watu:yo:
 
Last edited by a moderator:
Dancani

Dancani

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
799
Points
195
Dancani

Dancani

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
799 195
Unasema kweli, lakini mbona hao wanatuambia walala hoi tujiajiri watoto wao wanabanana BOT, TRA, MIZANI-UJENZI, ni waganga wakuu wa wilaya, hospitali etc??????????????????????????????????????????????????????????
Mkuu ujue hawawapeleki huko ili kufanya kazi ila kuwasaidia kurahisisha mambo yao kama biashara zao, we hujuiliizi kwanini inaonekana kunawafanyakazi ila mambo mengi yanayumba.
 
Forum statistics

Threads 1,295,168
Members 498,180
Posts 31,202,138
Top