Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,701
- 3,664
Kinondoni place bado zipo jana nilienda mazikoni ila watu wanajenga makaburi makubwa sana.. Kuna moja lipo kama mlima.. karibu na eneo la wabahai eneo lipo kama limetengwa hivi sikuelewa.
Acheni uoga wa kufa... kama familia haina pesa mtazikwa Dar na si lazima kinondoni kuna maeneo mengi zaidi mbona wilaya zote
Acheni uoga wa kufa... kama familia haina pesa mtazikwa Dar na si lazima kinondoni kuna maeneo mengi zaidi mbona wilaya zote