Ubungo kibanguLeo nimekuja na hii mada walau tupeane info za life si unajua tena
Ni maeneo gani kwa dar hayana joto sana?
Ni maeneo gani hayana joto sana ukilinganisha na maeneo mengine?
Kiukweli sipendi maeneo yenye joto kali ndo maana nauliza angalau yenye unafuu na yasiyo na joto sana.....
mwishomwisho kuelekea kisarawe huko karibu na eneo la mloganzila.Hii ipo dar sehem gn?