Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Leo nimekuja na hii mada walau tupeane info za life si unajua tena

Ni maeneo gani kwa dar hayana joto sana?

Ni maeneo gani hayana joto sana ukilinganisha na maeneo mengine?

Kiukweli sipendi maeneo yenye joto kali ndo maana nauliza angalau yenye unafuu na yasiyo na joto sana.
 
Leo nimekuja na hii mada walau tupeane info za life si unajua tena

Ni maeneo gani kwa dar hayana joto sana?

Ni maeneo gani hayana joto sana ukilinganisha na maeneo mengine?

Kiukweli sipendi maeneo yenye joto kali ndo maana nauliza angalau yenye unafuu na yasiyo na joto sana.....
Ubungo kibangu
 
Maeneo yaliyoinuka kidogo angalau yana kaupepo na joto linapungua kiasi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom