Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Hivi kupata nafasi yakuweka kibanda nje ya stand inahitaji dalali au unajiwekea tu???frem za huko ndani tumewaachia wenyewe mnaoziweza

Kingsmann
Maeneo yote yana watu, unaweza kudhani pale Mbezi unaweza kuingia kuweka biashara yako tu lakini wapo watu na wamemiliki maeneo yote. Ukitaka muone dalali, eneo dogo tu utalipa hadi 1.5m ili kuweka kibanda chako. Sikujua hili hadi nilipompeleka dogo mmoja rafiki yangu sana.
 
Mpeleke kule chini karibu na ilipo safari bar...kuna biahaara sana kule ila pia inategemea na biashara anayotaka,kule biashara za maduka ya jumla na nafaka ndio kwenyewe
 
Mpeleke kule chini karibu na ilipo safari bar...kuna biahaara sana kule ila pia inategemea na biashara anayotaka,kule biashara za maduka ya jumla na nafaka ndio kwenyewe
Nilimpeleka pale roundabout ya njia ya Goba, alipata sio pabaya.
 
nataka kuwekeza hoteli yenye hadhi ya nyota 5 maeneo karibu na maeneo hayo ya stendi ya mbezi mwisho, naomba ushauri kati ya;
1. Luguruni
2. kibamba
4. Kiluvya gogoni
wapi kati ya maeneo hayo panafaa zaidi?
Pote panafaa....ila unaijua hotel ya nyota 5 mkuu?? Uje kutujengea sisi wapanda maabus hotel ya nyota 5???

Kwanini usijenge ma apartments za ghorofa maeneo hayo utapata sana pesa
 
Hiyo hela sii bora nikabet tuu nitulie zangu home
Hahaha hata mimi nataka niwe kama tips master nawekeza milion 10 kamarini
IMG_20201116_215230_865.jpg
IMG-20201116-WA0002.jpg
 
Za moto sana, kodi zilikuwa zina soma kuanzia million, palichelewa sana kupata watu, hata sasa japo sijafuatilia muda nadhani hapaja jaa.
Hua wanasoma upepo wanapunguza...hata hapo mbezi wanasubiri makampuni yakishachukua zitakazo baki raia watakuja kupata kwa bei ya wastani japo haitokua haba
 
Maeneo yote yana watu, unaweza kudhani pale Mbezi unaweza kuingia kuweka biashara yako tu lakini wapo watu na wamemiliki maeneo yote. Ukitaka muone dalali, eneo dogo tu utalipa hadi 1.5m ili kuweka kibanda chako. Sikujua hili hadi nilipompeleka dogo mmoja rafiki yangu sana.
Nilikua napachukulia poa kumbe ndomoto hiviimamaana akishalipa hiyo 1.5m ni pake kabisa??

Kingsmann
 
Back
Top Bottom