Unapo itaja ItigiVipa de ni virefu kutoka kigwa ukiwa unaelekea itigi vumbi ni lisaa 1 na nusu, halafu lami baada ya hapo vumbi tena kwa lisaa limoja na nusu...
mie nimepinga andiko lako kigoma, uvinza tabora lami sio kweli urambo kaliua no lami then mbele ya kaliua hakuna lami unaikuta mbele kidogo then vumbi mpaka uvinza ndo lamiKama unatokea Kigoma kweli huna shukrani.Kigoma ya enzi zile ungepita Malagarasi kipindi cha masika?.Kaeneo kalikobaki nako kana mkandarasi!.Bisha kama mikungu ya ndizi haisombwi kwa milori kwenda Tabora.Pengine wewe ni mtoto huijui Kigoma ya zamani.
Tupia kapicha basiKigoma niliyokuwa naisikia Mimi ni tofauti na niliyoiona.Vijiji karibu vyote vimeunganishwa na barabara za kudumu,vina masoko ya kisasa,umeme wa REA unasambaa kila kona,masoko mengine yamewekewa umeme wa sola.Baadhi ya vijiji ukifika utadhani unaingia mjini kutokana na umeme.Jamaa wanajenga nyumba za matofali ya kuchoma na bati kila sehemu.Yaani karibu wanafuta nyumba za nyasi.Barabara ya Kigoma - Uvinza- Tabora sasa ni ya lami(daraja la Kikwete kwenye mto Malagarasi ni muujiza).Waha wanasafirisha ndizi kwenda Tabora kama kazi.Kigoma sasa imo kwenye big 6 katika kuzalisha zao la mahindi.Shule za sekondari za kata kila kona.Kigoma hawajawahi kuomba chakula cha msaada miaka mingi iliyopita kama siyo hapana kabisa.Aidha nimeshuhudia vipaji vikuu vya kuimba sijawahi kutegemea.Vijamaa vina maumbo madogo lakini vinaimba balaa.Tatizo la hawa Jamaa ni ubishi,japokuwa ukiwasikiliza kwa makini wana hoja.Ukibishana na Muha Hata kama ni darasa la 4 jipange sawa sawa.Kama huamini hudhuria kwenye vikao vyao vya Baraza la .madiwani.Kimsingi Kigoma nimeshuhudia maendeleo makubwa ambayo sikuyatarajia.Hongera serikali.Jitahidini kumalizia barabara ya Kigoma Nyakanazi.KIGOMA YA SASA YASONGA MBELE.
Lindi na Kigoma bora Lindi
Umesahau na vile vi baby vya kule ni vizuri kupita wote duniani. Na ile migebuka haipatikani sehemu yo yote nyingine duniani na ni tamu kuliko vitu vyote kwenye sayari hii. Plus na hao sokwe mtu kwenye hiyo hifadhi. Baada ya miundo mbinu kufunguka yaki ya nani Kigoma si ya mchezo. Tutegemee mafuriko ya watalii Kigoma. Arusha si cho chote kwa Kigoma. Bravo Ndalichako, mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini 2020. Wabunge kama Zitto ndiyo wanatuharibia sifa za mkoa wetu na kuonekana sisi ni wabishi wakati sisi wanachigoma ni poa kinoma. Sisi ni futuhi tu 24/7/52.Kigoma niliyokuwa naisikia Mimi ni tofauti na niliyoiona.Vijiji karibu vyote vimeunganishwa na barabara za kudumu,vina masoko ya kisasa,umeme wa REA unasambaa kila kona,masoko mengine yamewekewa umeme wa sola.Baadhi ya vijiji ukifika utadhani unaingia mjini kutokana na umeme.Jamaa wanajenga nyumba za matofali ya kuchoma na bati kila sehemu.Yaani karibu wanafuta nyumba za nyasi.Barabara ya Kigoma - Uvinza- Tabora sasa ni ya lami(daraja la Kikwete kwenye mto Malagarasi ni muujiza).Waha wanasafirisha ndizi kwenda Tabora kama kazi.Kigoma sasa imo kwenye big 6 katika kuzalisha zao la mahindi.Shule za sekondari za kata kila kona.Kigoma hawajawahi kuomba chakula cha msaada miaka mingi iliyopita kama siyo hapana kabisa.Aidha nimeshuhudia vipaji vikuu vya kuimba sijawahi kutegemea.Vijamaa vina maumbo madogo lakini vinaimba balaa.Tatizo la hawa Jamaa ni ubishi,japokuwa ukiwasikiliza kwa makini wana hoja.Ukibishana na Muha Hata kama ni darasa la 4 jipange sawa sawa.Kama huamini hudhuria kwenye vikao vyao vya Baraza la .madiwani.Kimsingi Kigoma nimeshuhudia maendeleo makubwa ambayo sikuyatarajia.Hongera serikali.Jitahidini kumalizia barabara ya Kigoma Nyakanazi.KIGOMA YA SASA YASONGA MBELE.
jkHongera Zitto,, hongera NCCR Mageuzi kwa kweli mnastahili pongezi!! Mlipiga mno kelele za maendeleo na wananchi wakawasikia!!
Lindi!.Mbona kile kimji kinaonekana cha zamani sana na majengo yake kama magofu.Lindi iliizaa Mtwara lakini Mtwara sasa iko juu mno kuliko Lindi.Nenda vijijini Lindi uone nyumba za makuti.Tatizo la Lindi harakati za wananchi kujiletea maendeleo bado ziko chini.Serikali wanatakiwa wafanye Kampeni kubwa ya kuhamasisha maendeleoMiaka mingi Kule hakuna umeme wa mgao, taa za barabarani tangia 2010.
Mji una route kama 12 za daladala pale mjini, maji ya mgao yenye ratiba ya kueleweka.
Vyakula vya kila aina yaani mfuko wako tu.
Hotel za nyota 5,4,3 pia zipo.
Mwisho acha ujinga wa kizamani wa kuifananisha Kigoma na Lindi
.Walio wabishi kama WAHA watakuja wakubishie hapa!
Elewa point ni kwamba unapotoka kigwa ambayo ni uyui vipande virefu sana hakuna lami, unapotoka kigwa unaelekea itigi usichoelewa ni kipi hapoUnapo itaja Itigi
umesha toka Tabora
kutokea kigoma njia ya Uvinza
Unapamba na ambavyo havipambiki. Serikali kujenga miundo mbinu ni wajibu wake. Ndizi miaka yote inasafirishwa kwenda Tabora kwa njia ya reli, sema wewe hukuwahi kulijua hilo. Tabora bila Kigoma haina maisha ndiyo maana reli ikipata tatizo ni shida sana. Hii habari ya kusema Kigoma ni mkoa wa mwisho kimaendeleo si kweli. Mkoa wa Rukwa, Lindi na hata Dodoma bado ni mikoa maskini zaidi. Dodoma inabebwa na manispaa tuu lakini mawilaya yako hoi tuu. Ni vile watu wengi Kigoma wanaijua kwa maneno na si kwa kufikaKama unatokea Kigoma kweli huna shukrani.Kigoma ya enzi zile ungepita Malagarasi kipindi cha masika?.Kaeneo kalikobaki nako kana mkandarasi!.Bisha kama mikungu ya ndizi haisombwi kwa milori kwenda Tabora.Pengine wewe ni mtoto huijui Kigoma ya zamani.